My take
Ni tofauti ndogo na huku Malawi Sultana wetu kaenda Urusi na Abduli apate kumuona na ku-shake hands na Putin
=============
Sultan Hassanal Bolkiah (miaka 79) wa brunei, ametangaza...
Kikosi cha Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, kilitoa picha za Ahmed Khamis Abu Younes, gaidi kutoka Kikosi cha Mohammed Abu Shamala cha Kikosi cha Rafah, ambaye aliuawa mwishoni mwa Oktoba 2023...
Majuzi viwanja vyote vya ndege vya Kuwait vimepigwa makombora
Hii ni baada ya base zilitumika kuchakazwa na makombora,
Baada ya hapo wakaja na ndege za kujaza mafuta angani nazo zikashushwa kwa...
Frankfurt, Germany: wafanyakazi kadhaa wa ndege kampuni ya Lufthansa Boeing 787, wapata majeruhi baada ya taili za upande wa mbele wa ndege(nose gear) kupasuka wakati ikiwa imepaki katika geti la...
AFRODAD Interim Executive Director, Dr. Theophilus Yungong Jong
NAIROBI, Kenya – The African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) has called on journalists across the continent to...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Baraza la Wawakilishi limepitisha tu Azimio la Mamlaka ya Vita vya Iran, 215-208.
Warepublican 4 walipiga kura na Wademokrasia: Massie, Fitzpatrick, Barrett, na Davidson.
Hatua...
Msemaji wa IDF kwa lugha ya Kiarabu, Luteni Kanali Ella Waweya, anasema kwamba magaidi wa Hezbollah wamechukua udhibiti wa Hospitali ya Serikali ya Tebnine kusini mwa Lebanon na wanazuia matumizi...
Mamlaka ya kupambana na Rushwa nchini Indonesia (KPK) limemkamata na kumzuia Naibu Waziri wa Uhamiaji, Silmy Karim, baada ya kuhojiwa kwa saa 10 kufuatia tuhuma za rushwa kwenye utoaji wa nyaraka...
Kiongozi wa upinzani pamoja na viongozi wenzake wa chama cha Ennahdha wamehukumiwa vifungo virefu gerezani kwa kosa la kuanzisha idara ya usalama ya siri
Viongozi waliohukumiwa ni:
Rached...
Baada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli...
Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika...
Mwezi Juni kwa kawaida huwa ni msimu wa baridi na wa kupendeza katika maeneo ya uwanda wa juu wa Afrika Mashariki. Lakini wakazi wa Nanyuki katikati mwa Kenya siku hizi wana hasira kubwa...
Roman Gofman anakuwa mkuu mpya wa Mossad; katika sherehe, Netanyahu asema Israeli 'itasaidia' utawala wa Iran kuanguka
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asema utawala wa Iran "umekusudiwa kupita" na...
KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA
Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye...
Waziri wa Usalama wa Kitaifa wa Israeli, Itamar Ben Gvir, alitoa video akitangaza sheria yake iliyopendekezwa ambayo ingepiga marufuku utangazaji wa sauti wa mwito wa Kiislamu wa kusali kutoka...
Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!?
Siku zinakimbia sana aisee!!!
Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran...
Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana.
China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama...
Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi zake barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, hatua inayotarajiwa kuongeza udhibiti kwa wanaotafuta vibali vya kuingia nchini...
Mozambique said five of its nationals were killed in “xenophobic attacks” in South Africa at the weekend and efforts were under way on Tuesday to repatriate hundreds of others.
However, the South...