Kwa zaidi ya miaka 70 sasa Waisrael wamekuwa wakiwanyanyasa sana na kuwaua.
Huko Gaza na West Bank, Waisrael wanawaua kila siku.
Gaza huko Waisrael wanadhibiti karibu huduma zote za msingi...
Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake.
Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa...
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa wiki sita yalianza kutekelezwa Januari, lakini Israeli ilianzisha tena mashambulizi yake wiki iliyopita, ambapo mamia ya Wapalestina wameuawa tangu wakati...
FaizaFoxy Hivi wale vijana machachari wa Hezbollah waliendaga wapi? Wamebaki wala Mirungi wa Houthis ndio wanasumbua sumbua.
Hezbollah hata online hawaonekani
Hamas wamesalitiliwa na kila mtu
😅...
Naipongeza Serikali ya Rwanda kuona mbali na kuweka utaratibu mzuri wa makanisa, Misikiti na taasisi za dini
Rwanda imefungia zaidi ya makanisa 600,
Kabla walipiga marufuku matumizi ya azana Kwa...
Members Ritz na Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa...
Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel
Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa...
The app was invented by Israeli company Waze Mobile in 2008 and sold to Google for nearly $1 billion in 2013.
Iranian demonstrators used an Israeli-made Waze app to coordinate their traffic jams...
Wadau hamjamboni nyote?
Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD
72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao
Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita...
🔴 Salah Bardawil, mkuu wa ofisi ya mipango na maendeleo ya Hamas, aliondolewa kusini mwa Gaza. Bardawil aliwahi kuwa gaidi mkuu katika ofisi ya kisiasa ya Hamas, na kama sehemu ya jukumu lake...
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel.
Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita.
Kama kawaida ving'ora...
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.
hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni...
Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi...
Majeshi ya israel yanaendelea kuzipiga ngome za magaidi wa Hamas huko Gaza na wale waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha zoezi la ubadirishanaji Mateka sasa hivi wameshazitupa wanavaa kiraia tu na...
Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa...
12 March 2025
Kampala
Picha : rais Salva Kiir na makamu wa kwanza wa rais Dr. Rick Machar
Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Uganda jenerali Kainerugaba Muhoozi athibitisha askari wa vikosi maalum...
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia.
Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi...
Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana....
The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed...
Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka...
Magaidi wa Hezbollah baada ya wao jana kuishambulia Israel leo hii majeshi ya israel yamewalenga makamanda wa Hezbollah waliokuwa wakisafiri kutumia gari. Ikimbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah...