Report: Iranians use Israeli-made app during protests

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
shutterstock_1423767722-750x400.jpg

The app was invented by Israeli company Waze Mobile in 2008 and sold to Google for nearly $1 billion in 2013.

Iranian demonstrators used an Israeli-made Waze app to coordinate their traffic jams on Friday, according to TheJerusalem Post, citing the Italian daily La Repubblica.

The Italian newspaper reported on Sunday that the protesters managed to communicate where to drive and leave their cars to maximize the disruption using Waze, says The Post.

On Friday, the Iranian government announced that it would double the price of gasoline. In response, protesters took to the streets and staged traffic jams that were coordinated via the Waze app.

NetBlocks, an internet blockage observatory NGO, tweeted on Saturday that the Iranian government blocked the internet in an attempt to control information, silence protesters, and prevent people from communicating and organizing.

“Iran is now in the midst of a near-total national internet shutdown; realtime network data show connectivity at 7% of ordinary levels after 12 hours of progressive network disconnections as public protests continue,” NetBlocks tweeted.

The app was invented by Israeli company Waze Mobile in 2008 and was sold to Google for nearly $1 billion in 2013.

In 2017, Iran’s Fars News Agency reported that Teheran temporarily blocked the Waze app because it was invented in Israel.

“The Iranian government long feared that the Waze app was developed by the Mossad,” Middle East economic analyst Doron Peskin said in a phone interview with Calcalist at the time.

After Iran unblocked the app in late 2017, Israel’s official state Twitter handle in Persian poked fun at the decision.

“Now that the block on Waze has been lifted – is it no longer a Mossad app?” the tweet said at the time.

On Saturday, U.S. Secretary of State Mike Pompeo expressed his support for the protests.

“After 40 years of tyranny, the proud Iranian people are not staying silent about their government’s abuses,” Pompeo said.

“We will not stay silent either. I have a message for the people of Iran: The United States hears you. The United States supports you. The United States is with you,” he tweeted.

Source: World Israel News
 
Akili za Pompeo na Trump ni akili Pacha.

sasa kama internet connectivity imekuwa blocked hiyo app ina operate vipi?

The Ayatollahs should switch off electricity supply consequently switching off all mobile phones, if the stupid demonstrators have solar powered androids, they should bring in the chinese and blanket the sun.
 
Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.

Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.

Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.

Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.

Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???

Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.

Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
 
Hilo Taifa wako vizuri mpaka watatufanya tujidai Wabongo kuweza kuteleza kwa mwendokasi wa 160km/h hapo mwakani, inshallah
 
Hilo Taifa wako vizuri mpaka watatufanya tujidai wabongo kuweza kuteleza kwa mwendokasi wa 160km/h hapo mwakani, inshallah
Hili taifa ndilo lilimfanya Muingereza kuwa ndiyo taifa kubwa duniani kuanzia karne ya 18, 19 na 20. Hivi unafahamu hili wewe mzee ???

Halafu hili taifa mpaka leo limegoma kusaini mkataba wa umoja wa mataifa (UNCLOS) unaohusu mipaka ya bahari, unajua kwanini wewe mzee ???
 
Una maanisha taifa la Iran mkuu?
 
Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.

Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.

Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.

Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.

Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???

Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.

Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Siku zote hawa jamaa Waturuki mimi huwa siwaelewi kabisa,hafadhali Iran anayejionyesha waziwazi...Turkey the sleeping Lion.
 
Siku zote hawa jamaa waturuki mimi huwa siwaelewi kabisa,hafadhali Iran anayejionyesha waziwazi...Turkey the sleeping Lion.
Hahaha Mkuu heshima yako, Turkey is the most dangerous state in the Middle-East lakini naona watu wanamuangalia sana Iran.

Mkuu kilama upo hapo ???
 
Salama mkuu,naona unatokea mara chache na kupotea kama radi,, 😀 😀
Hivi mkuu,ile failed coup ni kweli USA & NATO walikuwa behind,au ilikuwa ni janja ya Edogan kuwashughulikia enemies wake?...
 
Salama mkuu,naona unatokea mara chache na kupotea kama radi,,
Hivi mkuu,ile failed coup ni kweli USA & NATO walikuwa behind,au ilikuwa ni janja ya Edogan kuwashughulikia enemies wake?...
Soma hapa mkuu.
 
Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.

Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.

Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.

Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.

Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???

Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.

Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Kihistoria inaonesha kuwa kuanguka kwa ottoman empire wayahudi walichangia saana pia haohao wayahudi walichelewesha kuanguka kwa ottoman empire
 
Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.

Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.

Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.

Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.

Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???

Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.

Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Unaamanisha Turkey mkuu? Alipowekewa kikwazo kauchumi kidogo tu akaanza kujamber nakukimbilia Kwa Althan Qatar nakumpigia magoti nakuomba msaada nakupewa 14 billion dollars akapumua
 
Hili taifa ndilo lilimfanya Muingereza kuwa ndiyo taifa kubwa duniani kuanzia karne ya 18, 19 na 20. Hivi unafahamu hili wewe mzee ???

Halafu hili taifa mpaka leo limegoma kusaini mkataba wa umoja wa mataifa (UNCLOS) unaohusu mipaka ya bahari, unajua kwanini wewe mzee ???
Hawa jamaa historia ya utemi wanayo sana mfano walivyowauwa waarmenia ila siyo mbaya kutuelezea kwa nini waligoma kusaini huo mkataba.
 
Taifa la Israel linapambana na Iran kwa nguvu nyingi sana lakini linasahau uhalisia mmoja mchungu kwamba mshindani wake mkubwa kwa Iran miaka mingi ijayo siyo Iran.

Bali taifa la Kiislamu ambalo liko barani Ulaya na Barani Asia, taifa pekee la kiislamu ambalo ambalo wasomi wake wana ushawishi mkubwa sana duniani na taifa pekee la kiislamu ambalo liko ndani ya Umoja wa Kujihami wa NATO.

Hili taifa lina jiografia nzuri mno inayounganisha mataifa ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki kupitia bahari nyeusi na Mediterranean, pia kuunganisha bara la Ulaya na Mashariki ya kati kupitia bahari nyeusi na bahari ya Mediterranean.

Jiografia ya taifa hili la Kiislamu ilikuwa ndiyo chanzo kikubwa cha The Cuban missile crisis ya mwaka 1962 ambayo ingepelekea kutokea kwa vita ya tatu ya dunia baina ya Marekani na Umoja wa Kisovieti.

Unajua kwanini ilibidi taifa hili liingizwe Umoja wa NATO miaka ya 1950's na wanaogopa lisitoke kwenye Umoja huo mpaka leo ???

Hili taifa linapata nguvu na ushawishi kila siku kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na Ulimwengu usio wa Kiislamu tofauti kabisa na mataifa mengine ya Kiislamu ambayo ushawishi wake uko kwenye dini, mafuta na pesa.

Ukitazama vizuri mwelekeo wa siasa za dunia, hili taifa ndilo litakuja kuwa adui mkubwa sana wa Israel huko mbeleni.
Mkuu, kuna hapa naona unaweza ukajikuta unapingana na uzi wako fulani uliowahi kuuleta humu unaoelezea namna wenzetu walivyo invest kwenye education na intelligence kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao.

Hao jamaa siyo kwamba wameisahau hiyo nchi, kilichopo ni swala la muda na level of threat, kama mambo yapo shwari au yana pretend kuwa shwari na wao will do the same.

Kumbuka hawana tabia ya kumpuuza yeyote hata kama utakua ni dhaifu kiasi gani wao wata assume kuwa wewe ni hatari kwao kuliko yeyote yule.

Intelligence Agencies huwa hazilali, kila wakati zipo macho na zikifanya jitihada za kujipenyeza kila mahala na ndani zaidi.
 
Mkuu, kuna hapa naona unaweza ukajikuta unapingana na uzi wako fulani uliowahi kuuleta humu unaoelezea namna wenzetu walivyo invest kwenye education na intelligence kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao.
Hao jamaa siyo kwamba wameisahau hiyo nchi, kilichopo ni swala la muda na level of threat, kama mambo yapo shwari au yana pretend kuwa shwari na wao will do the same, kumbuka hawana tabia ya kumpuuza yeyote hata kama utakua ni dhaifu kiasi gani wao wata assume kuwa wewe ni hatari kwao kuliko yeyote yule.
Intelligence Agencies huwa hazilali, kila wakati zipo machi na zikufanya jitihada za kujipenyeza kila mahala na ndani zaidi.
Uko sawa kabisa mkuu Israel ni taifa lenye maghuvu sana pale Mashariki ya kati. Lakini siku zote kwenye Political Science huwaga tunasema History is not linear chochote kile kinaweza kutokea kinyume kabisa na mipango yako.

Kama Uturuki itaendelea kwenye njia hiihii ambayo Erdogan anawapeleka, basi ni lazima watakuja kupambana tu na Israel au Saudi Arabia huko mbeleni. Ubaya ni kwamba Uturuki anataka kilekile ambacho Israeli, Iran na Saudi Arabia wanakitaka: To be a regional power.

Mambo anayoyafanya Uturuki kwa kipindi hiki siyo ya kawaida kwa nchi ambayo iko ndani ya NATO na ina kambi kubwa ya NATO nchini kwake. Alisubiri mambo yakae vibaya ndiyo katoa makucha.

Erdogan ndiye Raisi pekee ambaye ameenda kinyume kabisa na wenzake waliomtanguli kwenye mambo mengi tokea Jamhuri ianzishwe mwaka 1924. Fuatilia mwenyewe mkuu.....
 
Back
Top Bottom