International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakati viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wakikutana nchini Qatar kwa ajili ya mazungumzo ya kusitisha vita, waasi wa M23 wamegomea mkutano mwingine wa usuluhishi...
1 Reactions
4 Replies
546 Views
Donald Trump ametangaza azma yake ya kuwania urais kwa mara ya tatu, katika jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kuingia tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Donald Trump anatarajiwa kuzungumza na Vladimir Putin siku ya leo huku wawili hao wakitarajiwa kujadili eneo na udhibiti wa mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia - Baada ya rais wa Urusi wiki...
1 Reactions
1 Replies
596 Views
Baada ya kujitoa kwenye jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) , Niger , Mali na Burkina Faso zimejitoa rasmi kwenye jumuiya ya nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa na zilizokuwa...
2 Reactions
7 Replies
761 Views
Bila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi. Kwa kujua huko nyuma wameshaipiga sana na kuvunja miundo mbinu mingi ya nchi hiyo lakini...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie. Jee Dunia nzima...
13 Reactions
89 Replies
2K Views
Dunia inaelekea kushika adabu yake baada ya mataifa kadhaa kuendelea kusambaratika na kufanya vituko vya kila aina. Umoja wa NATO uliokuwa kitu kimoja kupambana na Urusi ana China kimaneno pamoja...
1 Reactions
14 Replies
845 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alihutubia ulimwengu kwa ujumbe mzito: "Ungefanya nini ikiwa magaidi wangewaua na kuwateka nyara watoto wako? Ungefanya kile tunachofanya." Alisisitiza tena kwamba...
4 Reactions
10 Replies
991 Views
Wakuu, Serikali ya Rwanda imetangaza kuvunja rasmi mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji, hatua inayochukua ufanisi mara moja. Katika taarifa iliyotolewa jijini Kigali, Rwanda imesema uamuzi huo...
9 Reactions
140 Replies
7K Views
Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita, Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Taarifa ya Jeshi la Yemen kuhusu kulengwa kwa shehena ya ndege ya USS Harry Truman kujibu uchokozi wa Marekani - Machi 16, 2025. Adui wa Marekani alianzisha uchokozi wa wazi dhidi ya...
10 Reactions
132 Replies
5K Views
Ripoti ya “Viashiria vya Nguvu Laini Duniani Mwaka 2025” imetolewa hivi karibuni huko London, Uingereza, na nafasi ya China imepanda hadi pili duniani. Hii ni mara nyingine ya kupanda kwa nafasi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, amenusurika kuuwawa siku ya Jumanne baada ya msafara wake kushambuliwa na magaidi wa al-Shabaab. Kulingana na serikali ya Somalia, msafara wa Rais Mohamud...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space...
24 Reactions
126 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa...
1 Reactions
4 Replies
546 Views
Mjumbe wa Israel kwenye Umoja wa Mataifa a Waambie ukweli UN kuhusu msimamo wa Israel huko Gaza. https://x.com/phareselisha1/status/1902032088691331463?s=61
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Chama cha Otzma Yehudit (Jewish Power), kinachoongozwa na aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Kitaifa nchini #Israel, Itamar Ben-Gvir, kitarejea katika serikali ya mseto ya #Netanyahu, chama hicho...
2 Reactions
5 Replies
439 Views
Back
Top Bottom