Kutengeneza kitu kinachoitwa, A strong union and in order to do something with that solidarity, huwenda ndilo jambo gumu sana hapa Dunian
Nimeshindwa kuielewa Dunia, hasa kwenye jambo hili, pale...
Kampuni ya akili mnemba ya Kimarekani OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kuipiga marufuku akili mnemba Deepseek kutoka China ikiita kampuni inayopata usaidizi wa serikali na kudhibitiwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Eli sharabi awafanya wajumbe wa Baraza la Usalama la UN kububujikwa na machozi ya huzuni kubwa akiwaeleza jinsi magaidi ya Hamas walivyokuwa wakiwatesa
ASEMA ameshuhudoa...
Telegram sasa ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi, na kuwa program ya pili maarufu zaidi ya kutuma ujumbe ulimwenguni (ikiondoa WeChat, ambayo ni maalum kwa China) 🥈
Ushiriki wa watumiaji...
Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja...
Nchi tatu za Afrika Magharibi, Mali, Niger na Burkina Faso hivi karibuni kwa nyakati tofauti zimetangaza uamuzi wao wa kujitoa katika Jumuiya ya Francophonie (OIF). Nchi hizo ziliwahi kujulikana...
Hatua ya Marekani imejiri kufuatia tuhuma za ubaguzi dhidi wa Afrikaner uliohusishwa na utawala wa rais Ramaphosa kupitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa ardhi na kuipa serikali mamlaka...
Askari wa ISRAEL sasa hivi waka katikati ya Gaza tayari kuanza kazi ya kuwanyoosha magaidi wa Hamas kama ilivyo ada askari hao wako huko kwa ajili ya kuwatokomeza Hamas,Kuwarudisha mateka nyumbani...
IDF imedondosha vipeperushi mashariki mwa Shajaiyah (kaskazini mwa Gaza), ikiwataka wakaazi kuhama:
"Uko katika eneo hatari la mapigano Ondoka mara moja na ukae mbali iwezekanavyo."
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema Marekani na Israel zimechanganyikiwa baada ya kuona nchi za kiarabu zikiungana dhidi yao,
Tamko hilo amelitoa baada ya wanajeshi wa Houth kuzishambulia meli...
Jaji Theodore Chuang wa nchini Marekani ameuzuia utawala wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuchukua hatua zozote za kulifunga Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ambapo amesema taratibu za...
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani...
Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha.
Hata hivyo IDF ilidai...
"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye...
Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa...
Nchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale...
Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas...
Itimar Ben Gvir
kichaa aliyepewa rungu,
Huyo ni mwanasiasa mtata na mwenyemsimamo mkali wa Israeli ambaye aliongoza harakati za kumpinga Netanyahu na kutaka ajiuzulu kwasababu ya kusitisha...
Baadhi ya nchi za Uarabuni zimekuwa zikihusika katika mazungumzo ya amani katika migogoro mbalimbali ya kimataifa mfano Qatar.
Kwa mfano, Tshisekedi na Kagame walikuwa wanakimbiana kuanzia Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.