Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa...
Operesheni Entebbe: Misheni Inayothubutu Zaidi ya Uokoaji katika Historia.
Mnamo Julai 4, 1976, wakati Wamarekani wakisherehekea Siku ya Uhuru wao, Israeli ilikuwa ikitekeleza moja ya uokoaji wa...
Hatimae makamo Rais wa. Iran kajiuzulu baada yakuona sera ya misimamo mikali Rais wake haifaagilii
====
Hayo yameripotiwa na Shirika la habari la Iran, IRNA ambalo limearifu kwamba Zarif...
#gaza: Kundi la Wanamgambo wa Hamas limefyetua maroketi kuulenga mji wa Israel wa Tel Aviv ikiwa ni hatua yake ya kwanza ya kijeshi tangu Israel ilipoanza kuushambulia tena Ukanda wa Gaza baada ya...
Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin...
Mamilioni ya mafaili kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo,John F. Kennedy sasa rasmi yameachiwa kwa walimwengu waweze kupekua wapendavyo kupata jawabu ya kifo hicho.
Yapo matumaini...
Kamati ya nchi za kiarabu na kiislamu uliokaa kikao cha dharura umetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kusaidia kuizuia Israel kuendelea na maangamizi ya wapalestina huko Gaza.
Onyo hilo limetolewa...
Wakuu
Kumbe kampeni ya Duterte ya kuua wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ilikuwa inafadhiliwa na Marekani? Marekani hii ambayo inajinasibu kuwa baba wa haki za binadamu duniani?
Inafirikisha...
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake?
Leo hii ni zaidi ya...
Magaidi wa ki-Houthi huko Yemen wanapata kipigo cha Mbwa-Koko baada ya wao kugundua ugomvi usiowahusu huko Gaza!!
https://x.com/therealjew613/status/1902544051313782789?s=61
Jeshi la Sudan limechukua udhibiti kamili wa Ikulu ya Rais mjini Khartoum leo, Machi 21, 2025, kutoka kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), likiwa ni ushindi mkubwa katika mzozo wa miaka miwili...
Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi wa Hamas waanza kuishambulia Israel kwa maroketi wakijibu uchokozi na uonevu wa mayahudi
Huko tel Aviv Hali ni mbaya na hakukaliki
Mungu wao yupo pamoja nao...
Jumuiya ya Ulaya (EU) wameagiza gesi ya URUSI Kwa mara ya kwanza tangu Mara ya mwisho wafanye hivyo miaka miwili iliyopita.
Jumuiya hiyo wameagiza gesi hiyo ya urusi yenye thamani ya dola billion...
Walikale, ampapo kuna mgodi wa Alphamine wa Canada, na mingine ya wa Belgiji, tayari ipo mikononi mwa AFC/M23.
Hakukuwa na mapigano, kwa sababu toka juzi, wanajeshi wa FARDC na washilika wao...
Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa
Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na...
Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni...
Trump alisema Gaza imekuwa kuzimu, hakufai kwa maisha ya mwanadamu.
Hamas wanasifiwa na wajahidina wasiofikiria kwamba wameshinda vita. Je huu ndio ushindi sasa walioupata mbele ya Israeli...
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara...
Utaratibu wa kuwarejesha nyumbani wanajeshi 190 wa Afrika ya Kusini wanaolinda amani nchini Congo DRC 🇨🇩 umeshindikana. Kwa mujibu wa City Press, wanajeshi hao wote ni majeruhi na kwamba taarifa...
Mkurugenzi wa SpaceX, Elon Musk, amethibitisha kwa Fox News kuwa alitoa msaada wa kuwarejesha wanajeshi wa NASA waliokuwa wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS), lakini utawala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.