International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD 72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita...
3 Reactions
15 Replies
993 Views
🔴 Salah Bardawil, mkuu wa ofisi ya mipango na maendeleo ya Hamas, aliondolewa kusini mwa Gaza. Bardawil aliwahi kuwa gaidi mkuu katika ofisi ya kisiasa ya Hamas, na kama sehemu ya jukumu lake...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel. Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita. Kama kawaida ving'ora...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah. hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni...
18 Reactions
84 Replies
4K Views
Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi...
12 Reactions
43 Replies
1K Views
Majeshi ya israel yanaendelea kuzipiga ngome za magaidi wa Hamas huko Gaza na wale waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha zoezi la ubadirishanaji Mateka sasa hivi wameshazitupa wanavaa kiraia tu na...
2 Reactions
6 Replies
525 Views
Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa...
34 Reactions
156 Replies
8K Views
12 March 2025 Kampala Picha : rais Salva Kiir na makamu wa kwanza wa rais Dr. Rick Machar Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Uganda jenerali Kainerugaba Muhoozi athibitisha askari wa vikosi maalum...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia. Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi...
18 Reactions
48 Replies
3K Views
Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana.... The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed...
10 Reactions
72 Replies
3K Views
Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka...
3 Reactions
1 Replies
450 Views
Magaidi wa Hezbollah baada ya wao jana kuishambulia Israel leo hii majeshi ya israel yamewalenga makamanda wa Hezbollah waliokuwa wakisafiri kutumia gari. Ikimbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah...
4 Reactions
5 Replies
487 Views
Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete...
3 Reactions
1 Replies
347 Views
Sehemu ndogo nyeupe kwenye ramani ni ISRAEL, na sehemu ya kijani ni nchi za Kiarabu. ISRAEL ina idadi ya watu milioni 9 pekee, huku nchi za Kiarabu zikiwa na karibu milioni 500. Ingawa hali hii...
5 Reactions
10 Replies
578 Views
Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Kumekucha. Jamaa wapo serious kweli kweli wanapata sababu za kuitwaa Gaza. Na wanatafuta sababu kila mara. Sasa upele umepata mkunaji.
4 Reactions
4 Replies
409 Views
Waziri wa Watoto wa Iceland, Ásthildur Lóa Thórsdóttir (58) amejiuzulu baada ya kukiri kuwa alizaa mtoto na mvulana wa miaka 16 akiwa na miaka 23, miaka 30 iliyopita. Kwa mujibu wa gazeti la...
2 Reactions
18 Replies
937 Views
Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Jumuia ya nchi za kiarabu umeamua kusitisha ushirikiano wa kijeshi na ki uchumi na Israel baada ya Israel kuanza kuishinikiza Hamas iwawaachie mateka waliowateka Oct 07,2023.
3 Reactions
17 Replies
861 Views
Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani. Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom