Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha...
Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza.
Siku ya mwisho ya Bar...
Wadau hamjamboni nyote?
Mungu anazidi kuipigania Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel::
A ballistic missile launched from Yemen a short while ago, apparently aimed at...
Baada ya kutupilia mbali ombi la kundi la AFC/M23, la serikali ya kidemokarasia ya Congo, kukaa kwa ajili ya mazungumzo, waziri wa mambo ya nje, Madam Kayikwamba Wagner, ametangaza kwamba kwa...
Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton.
Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky...
Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda...
Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton.
Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky...
Raisi WA Marekani Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari akiwa live ofisini kwake (oval office) amesema kwamba:-
"mapigano urusi na Ukraine kukoma hivi karibuni, mazungumzo juu ya...
Huenda Misri inaweza kubadili msimamo wake wa muda mrefu wa kukataa wakimbizi wa Kipalestina kutoka Gaza. Kwa mujibu wa Al Akhbar, Rais Abdel Fattah El-Sisi anafikiria kuruhusu hadi Wapalestina...
March 18, 2025 ndio siku rasmi ambapo Documents zote za siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy ziliwekwa wazi. Hiyo ni baada ya takribani miaka 52 baaada ya kifo chake...
Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1...
Nimewaza tangu enzi za utumwa mpaka Sasa, katika vitu waafrika wanaogopa Sana ni kifo.
Ukichunguza kwa makini waafrika tunawaza zaidi kufa na baada ya kifo kuliko kuishi kabla ya kifo.
Tunawaza...
Iron-Dome ni mifumo ambao Israel inajivunia sana na umeonyesha kufanya kazi vizuri toka Oct 07,2023 Pamoja na kazi nzuri hiyo Israel imefanikiwa kufanya maboresho zaidi ili uweze kufanya kazi kwa...
Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo.
Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya...
Baada ya kuwepo kwa taarifa ya mashambuliano ya siku mbili mpakani mwa Syria na Lebanon kati ya wafuasi wa HizbuLlah na wapiganaji wa serikali mpya ya Syria,sasa tukio hilo limefuatiwa na mapatano...
Serikali mpya ya Syria chini ya raisi wa muda,Ahmed al Sharaa imepata mafanikio mengine ya kidiplomasia baada ya kuahidiwa msaada wa kulinda mipaka yake na umoja wa raia zake.
Mafanikio ya...
Ana umri wa miaka 41.
Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America.
Ni raisi machachari kwelikweli.
Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya...
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore...
Huyu mwamba wa El Salvador ana hasira sana, hadi akamwambia trump wewe niletee mu-salvador yoyote anaewasumbua huko Marekani, trump akamtumia lukuki 🤣
Jamaa ameweza kupambana na magenge hatari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.