Russia imepeleka Special Forces Burkina Faso kwa ajili ya kuongeza ulinzi na mafunzo maalum. Unakuja baada Ufaransa kuonyesha tamaa ya kutaka kutawala Nchi za kiafrika na kuendelea kuzinyonya...
Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana...
Katika mkesha wa Siku ya Uhuru Israel kufikisha miaka 77 , idadi ya watu inasimama kwa watu milioni 10.094: kati yao
• Wayahudi milioni 7.732 na wengine (77.6%)
• Waarabu milioni 2.114 (20.9%)...
Moto wa nyika haudhibitiwi.
Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuu na kukimbia kwa miguu.
Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari
Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto...
Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona...
Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas...
VLADIMIR PUTIN
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir...
Wanaukumbi.
Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii:
"Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika...
Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni...
Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za...
Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Duterte alikamatwa...
Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na aljazeera ,moto mkubwa umezuka maeneo ya Jerusalem na kuzua hofu ya kupoteza maisha ya watu.
Waziri wa mambo ya nje ameomba msaada kutoka nchi jirani na za...
Habari za hivi punde ambazo ni mpasuko kupitia BBC zinasema Prince Charles wa Wales amepata maambukizi ya virusi vya Corona.
Prince alikuwa anafanya kazi zake kutokea nyumbani na haijulikani...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka takwimu ya orodha ya hospitali bora kabisa duniani na huku kwetu Africa hakuna hata hospital moja.
Sababu za msingi zipi hasa?
Jioni njema
Orodha ya Forbes...
Tarehe 11 April, jijini Dar Es Salaam huko Tanzania, kilifanyika kikao cha dharula kinachohusu hatma ya jeshi la SADC, Mission (failed) ya SAMIDRC.
Kikao hicho kiliwahusisha:
-General Rudzani...
Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko...
Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao
President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of...
Israel haitaruhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia Si sasa si kesho wala si milele.
Israel haitaruhusu kabisa kitendo hicho na ikibidi iko tayari kuingia vitani na Iran peke yake bila kuwa na...
Wanaukumbi.
NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.