Leo Siku ya Jumanne jioni, Israeli itaadhimisha Siku ya Ukumbusho kwa askari waliokufa na wahasiriwa wa ugaidi, na ving'ora vya kitaifa saa 8:00 PM na Jumatano saa 11:00 asubuhi.
Tangu 1948...
Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu...
Kutoka mitandaoni...
TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO.
Na Joshua Ntagala
Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu,
utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu...
Korea Kaskazini imethibitisha rasmi kwa mara ya kwanza kwamba imetuma zana za kijeshi na wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo inaandaliwa kama sehemu ya...
MKUTANO WA KUMCHAGUA PAPA MPYA UTAANZA MEI 7, 2025
Taarifa zinasema kuwa Makardinali waliopo mjini Roma wamefanya uamuzi huo siku ya leo ya Jumatatu Aprili 28, 2025 ambapo umekuwa ni Mkutano wao...
Baada ya majeshi shupavu ya Israel kuyakamata maeneo bila upinzani wowote huko Gaza, Majeshi hayo sasa yanasawazisha eneo hilo tayari kwa matumizi mengine
Mpaka tutaongea lugha moja
A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday.
The...
Tukio lisilo la kawaida limetokea leo huko Beirut, Lebanon, wakati ndege ya usafirishaji ya jeshi la China - Xi'an Y-20A mali ya Jeshi la Anga la People's Liberation Army (PLAAF) - ilitua kwenye...
Wanaukumbi.
BREAKING: Al-Qassam Brigades:
Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun...
Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na...
Houth walikubali kupokea kipigo kutoka kwa ndege za Marekani na jumla ya watu 59 kufa. Asubuhi yake na wao wakatangaza kuzirushia makombora 18 na droni meli za kivita za Marekani zilizokuwa karibu...
Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa.
Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa...
Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili
"Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia...
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta...
Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo
Naibu Waziri Mkuu wa...
wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto...
Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas...
Vita baina ya India na Pakistan vimetabiriwa kutoepukika kufuatia mauwaji ya kigaidi yaliyofanywa Kashmir.
Aina ya watu wanaoitwa watalii waliouliwa na muda na namna tukio lilivyotokea limeelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.