International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia...
3 Reactions
5 Replies
592 Views
Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya. Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani. Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
2 Reactions
4 Replies
499 Views
Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo...
9 Reactions
104 Replies
3K Views
Mashambulizi yanayofanywa na Marekani nchini Yemen hayajaonesha dalili yoyote ya kupunguza nguvu za wanamgambo wa Houth kuendeleza mapambo ya kuwatetea wenzao wa Palestina. Kinyume chake...
7 Reactions
6 Replies
657 Views
Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
8 Reactions
63 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limesema kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa Uchaguzi ya nchi hiyo (CENI) hayaakisi taarifa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel Kiongozi wa Hezbollah, Naim Qassem, ameitaka serikali ya Lebanon kuchukua hatua zaidi...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa. Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa sasa tunaiona Taiwan kama eneo linalovutana na China, huku kila upande ukidai uhalali. Lakini je, historia ya Taiwan ni ipi hasa? Ilikuwaje sehemu ya China? Je, Nationalists walifika vipi...
1 Reactions
8 Replies
636 Views
Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yaendelea kuonyesha umahiri wake wa kup opona makombola kutoka Yemen, kątka kipindi cha mwezi April 2025 makombola zaidi ya 26 yamepopolewa kwa ustadi mkubwa na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru. Hayo...
1 Reactions
6 Replies
549 Views
Mkataba huo utahusisha rasilimali kama Aluminium, Graphite,Oil na natural gas. Hapa ndipo napo wapenda wamarekani bado mikataba ya ujenzi. Pesa ya marekani huwa haiendi bure bure huwa haina...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom