Lebanon yaionya Hamas dhidi ya mashambulizi yanayotishia usalama wa taifa.
Chombo cha juu cha usalama cha Lebanon kimeonya kundi la Palestina la Hamas dhidi ya kutumia eneo la nchi hiyo kwa...
Report zinasema Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya London nchini Wingereza iliyomkuta na hatia ya kumtumikisha Mwanadada Nyumbani/ House Girl kwake bila malipo stahiki.
Mwanamke huyo mwenye...
Wanakumbi.
Moto mkubwa wa misitu umezuka katika maeneo mengi ya Israeli.
Israel imeomba rasmi msaada wa kimataifa kutoka mataifa kadhaa kusaidia kuzima moto huo.
Malipo hapa hapa duniani Mungu...
Kama kuna mtu atataja kiongozi wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa Palestine kabla ya 1948, kuna milioni 1 yako
Kuna watu wamekuwa brainwashed sana kuamini huo uongo
tajeni viongozi wa...
Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye ameangamizwa katika mji wa Gaza alipokuwa akijificha miongoni mwa raia katika kitongoji chenye wakazi wengi.
Majeshi ya Israel kwa umahiri mkubwa yameweza...
Abu Mazen anawashutumu Hamas kwa kupora maghala ya chakula katika Ukanda wa Gaza
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Abu Mazen, alichapisha taarifa rasmi jioni hii akizungumzia hali...
Jeshi la Lebanon limebomoa zaidi ya 90% ya miundombinu ya Hezbollah karibu na mpaka.
"Tumebomoa zaidi ya 90% ya miundombinu ya Hezbollah katika eneo la kusini mwa Litani," afisa huyo, ambaye...
Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa...
Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa.
WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
Kumbe vita havitakuja kuisha duniani hata karne zijazo kwa sababu binadamu tunatofautiana mitazamo na imani. Historia inaonesha vita vilikuwepo karne na karne sehemu mbalimbali duniani ikiwemo...
Rais Donald Trump alitangaza kwamba ununuzi wote wa mafuta ya Iran na bidhaa za petrochemical lazima usitishwe mara moja. Alionya kuwa nchi yoyote au mtu yeyote anayeendelea na biashara hiyo...
Pamoja na kuzuiwa na Israel Meli iliyokuwa na misaada Gaza Flotilla ilianza safari yake kuelekea Gaza ambako wanajua wazi kuwa hawawezi kwenda kwa sababu ya mzingiro wa kijeshi eneo hilo kufuatia...
Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika...
Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani.
YouTube · Afro Page
4.7K+ views · 4 days ago
US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ( BIBI ) lengo kuu la operation ya kijeshi inayoendelea huko Gaza ni kuifuta Hamas ili isije kuwa hatari kwa Israel tena.
Gaza sasa itakuwa chini ya...
Habari hii iliripotiwa kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 9, 2024, kupitia jukwaa la Nairaland. Katika tukio hilo la kusikitisha, mwanamke mmoja nchini Nigeria alikamatwa kwa kosa la kumchoma msumari...
Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani...
Serikali ya Tanzania yahitaji kuchukua hatua kali dhidi ya meli za uvuvi za kigeni, hasa kutoka China, zinazofanya shughuli za uvuvi haramu, zisizoripotiwa, na zisizodhibitiwa (IUU) ndani ya eneo...
Utawala wa Syria asubuhi ya leo umemkamata Dkt. Talal Naji mjini Damascus. Yeye ni Katibu Mkuu wa Front Front for the Popular Front for the Liberation of Palestine - General Command (shirika la...
Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.