Russia yapeleka Komando Burkina Faso

Russia yapeleka Komando Burkina Faso

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,479
Reaction score
40,852
Russia imepeleka Special Forces Burkina Faso kwa ajili ya kuongeza ulinzi na mafunzo maalum. Unakuja baada Ufaransa kuonyesha tamaa ya kutaka kutawala Nchi za kiafrika na kuendelea kuzinyonya kadri wanavyo hitaji

BREAKING

Russia has reportedly sent special forces trained with unique skills to Burkina Faso, with explicit instructions from President Putin to safeguard the presidency of Burkina Faso, as well as Captain Ibrahim Traore. This development comes at a time when Western powers, led by France, have converged in Ivory Coast to strategize on an
i!n!va!si!on of Burkina Faso, alleging that Captain Ibrahim Traore has exploited Burkina Faso's gold for personal interests. Reports also indicate that Ghanaian citizens are mobilizing to cross into Burkina Faso to assist the Burkina Faso people in protecting Captain Ibrahim Traore from Western colonial powers. Russian special forces have taken control of Burkina Faso's airspace to prevent potential i!n!v!as!io!ns. As an African, what is your take on this development? - Chika Austin
 
Attachments

  • IMG_20250429_163723.jpg
    IMG_20250429_163723.jpg
    113.6 KB · Views: 33
hii ni nzuri sana. nafikiri viongozi wa afrika wanaweza ona jinsi mwenzao anavyo pendwa na kulindwa. Traore mbali na uongozi lkn ni mzalendo ambaye sio rahisi kuchukiwa na mtu yeyote mwenye upendo tu wa wastani. mawakala wa shetani tu ndo wanaweza ona traore si mzuri. BRAVO PUTIN 😎 😎😎
 
Na sisi huku Namabengo tunaandaa zindiko kali la kumkinga na hayo mambo pia tunamtengenezea dawa ya machale ya kustukia kitu kabla hakijafanyika siku 3 kabla ya kufanyika ameshaona mbali
 
hii ni nzuri sana. nafikiri viongozi wa afrika wanaweza ona jinsi mwenzao anavyo pendwa na kulindwa. Traore mbali na uongozi lkn ni mzalendo ambaye sio rahisi kuchukiwa na mtu yeyote mwenye upendo tu wa wastani. mawakala wa shetani tu ndo wanaweza ona traore si mzuri. BRAVO PUTIN 😎 😎😎
Traore niagu mwenye magwanda
 
"There is no such thing as a free lunch."
Nothing goes for nothing" quid pro quo"
Bora Mrusi kuliko anacho kifanya France kwenye nchi makoloni yake, Mungu ambariki Putin, Mungu ibariki Russia
Ngoja tueleze kidogo madhara ya Ufaransa kwa nchi zinazo ongea lugha yake ya Kifaransa:-
1. Nchi zote zilizo tawaliwa na Mfaransa zinatakiwa kila mwaka kuilipa France 60% ya mapato yao ya ndani, in case hata wakipata mkopo then 0.6 ya kipato kienda Ufaransa kama malipo ya kutawaliwa.
2. Akiba ya fedha za hizo nchi, haitakiwi kuwekwa kwa BOT ya nchi husika, inatakiwa kuwekwa Central bank ya France na mkiwa na shida ya ku withdrawal some money for their countries, then hawana uhuru huo wa kujichukulia muda wanao utaka.
3. Kama kuna fursa mpya ya uwekezaji, say kuna rasilimali kama madini, kampuni za kipaumbele should be from France first (Yasemekana Bukinafaso wamegundua mafuta juzi, then kwa mkataba ule, kampuni za Ufaransa ndio zinatakiwa kuja kuchimba mafuta yale)
4. Currencies za Ufaransa is among of them zinazo tumika kwa daily transaction

Binafsi niliwahi kwenda nchini Mali, mjini Bamako niliingia kwa supermarket mojawapo, nilishangaa hadi vitu vidogo kama Biscuits nazo ni from France. Kingine ni hiki, nchi ya Niger ni miongoni mwa nchi ambazo ni good producers wa madini ya Uranium, kampuni moja la Ufaransa lilikua likichimba madini yale na kuyauza, before jeshi halijapindua, bei ya 1kg ya Uranium kwenye soko ilikua Euro 200 BUT guess what? Ufaransa alikua akinunua madini hayo kwa senti 80 za Euro and hence nchi ziliendelea kua fukara sana. Usisahau kwamba 60% ya mapato including hiyo bei ya Uranium wanayo uza lazima iende France.
Kingine ni hiki (mtazamo wangu binafsi) angalieni nchi zote za Kiafrica excluding Arabic countries like Libya, Tunisia, Morocco etc then linganisheni kiwango cha umasikini wa nchi hizo na zile za English speaking countries, utalia na zingine zina rasilimali za kutosha kama nchi ya Mali, again tazameni kuhusu amani na usalama wa nchi hizo Vs English speaking countries, mfano Congo tu hapo
Alamsiki
 
Wa afrika bana maisha yetu ni kama movie la kihindi

Sasa unamkataa france unamleta russia sasa sjui apo anaepuka nn maana wao wote ni kitu kimoja
Unafukuza mkoloni unaleta mkoloni

Wacha tuwape muda ktk maisha Muda ni kitu muhimu sana wacha tuvumilie tuwape muda zen tutajua kipi ni kipi
 
Bora Mrusi kuliko anacho kifanya France kwenye nchi makoloni yake, Mungu ambariki Putin, Mungu ibariki Russia
Ngoja tueleze kidogo madhara ya Ufaransa kwa nchi zinazo ongea lugha yake ya Kifaransa:-
1. Nchi zote zilizo tawaliwa na Mfaransa zinatakiwa kila mwaka kuilipa France 60% ya mapato yao ya ndani, in case hata wakipata mkopo then 0.6 ya kipato kienda Ufaransa kama malipo ya kutawaliwa.
2. Akiba ya fedha za hizo nchi, haitakiwi kuwekwa kwa BOT ya nchi husika, inatakiwa kuwekwa Central bank ya France na mkiwa na shida ya ku withdrawal some money for their countries, then hawana uhuru huo wa kujichukulia muda wanao utaka.
3. Kama kuna fursa mpya ya uwekezaji, say kuna rasilimali kama madini, kampuni za kipaumbele should be from France first (Yasemekana Bukinafaso wamegundua mafuta juzi, then kwa mkataba ule, kampuni za Ufaransa ndio zinatakiwa kuja kuchimba mafuta yale)
4. Currencies za Ufaransa is among of them zinazo tumika kwa daily transaction

Binafsi niliwahi kwenda nchini Mali, mjini Bamako niliingia kwa supermarket mojawapo, nilishangaa hadi vitu vidogo kama Biscuits nazo ni from France. Kingine ni hiki, nchi ya Niger ni miongoni mwa nchi ambazo ni good producers wa madini ya Uranium, kampuni moja la Ufaransa lilikua likichimba madini yale na kuyauza, before jeshi halijapindua, bei ya 1kg ya Uranium kwenye soko ilikua Euro 200 BUT guess what? Ufaransa alikua akinunua madini hayo kwa senti 80 za Euro and hence nchi ziliendelea kua fukara sana. Usisahau kwamba 60% ya mapato including hiyo bei ya Uranium wanayo uza lazima iende France.
Kingine ni hiki (mtazamo wangu binafsi) angalieni nchi zote za Kiafrica excluding Arabic countries like Libya, Tunisia, Morocco etc then linganisheni kiwango cha umasikini wa nchi hizo na zile za English speaking countries, utalia na zingine zina rasilimali za kutosha kama nchi ya Mali, again tazameni kuhusu amani na usalama wa nchi hizo Vs English speaking countries, mfano Congo tu hapo
Alamsiki
Daaah! Inawezekanaje haya mambo? Only in Africa
 
Traore inabidi asicheke na wowote.....Mkono Glove ,Kiuno Mguu wa Kuku.
 
Nothing goes for nothing" quid pro quo"
Sasa kuna aliekuambia kuna cha bure??

Hata hao west wakitaka kuikalia sehemu lazima wanunue vibaraka kama nyie,hiyo ndio kanuni

For anything worth having one must pay the price,and the price is always work, patience,love,self sacrifice

Eti inawezekana na wewe una kadegree kako 😀😀
 
Back
Top Bottom