Israel haitaruhusu iran wawe na silaha za Nuclear

Kwamba pasipo mshirika ,kama US tu hawezi ingia popote bila mshirika ije iwe mpewa misaada
 
Israel haitaruhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia Si sasa si kesho wala si milele.
Israel haitaruhusu kabisa kitendo hicho na ikibidi iko tayari kuingia vitani na Iran peke yake bila kuwa na mshirika-Benjamin Netanyahu
Tazama nilichosema kwenye Mkutano wa Sera wa Kimataifa wa JNS >>

View: https://x.com/netanyahu/status/1917116976444440881?s=61

KASHINDWA kuzuiya Makombora ya Iran vip mtu uyo uyo amzuiwe M'babe wake kumiliki chochote !!!!

Netanyahu afaam ktk Dunia kwasasa 90% wanaamini IRAN ndio mkubwa wa Mashariki ya kati !!!

Dunia imeshaama ktk zile Propaganda zao mtu Kakubutua Live kama Mtoto afu leo Israel au Netanyahu itazuiya Iran haaaaaa awa jamaaaa Vichekesho sana..!!!!!!
 
Hicho hawez kukubali kama usa asipokubali kuwa anapoteza hegmeny yake ya kuamua kila kitu cha duni israel anajitutumua tu maana yupo hoi mpaka wanajeshi wanagoma kuendelea na vita itakuwa ni hiyo vita ya iran
 
Israel haitaruhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia Si sasa si kesho wala si milele.
Israel haitaruhusu kabisa kitendo hicho na ikibidi iko tayari kuingia vitani na Iran peke yake bila kuwa na mshirika-Benjamin Netanyahu
Tazama nilichosema kwenye Mkutano wa Sera wa Kimataifa wa JNS >>

View: https://x.com/netanyahu/status/1917116976444440881?s=61

anajitutumuaga sana huyu lkn hana lolote...IRAN ndo wakuifuta israeli jilete kazi iwe rahisi
 
Israel haitaruhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia Si sasa si kesho wala si milele.
Israel haitaruhusu kabisa kitendo hicho na ikibidi iko tayari kuingia vitani na Iran peke yake bila kuwa na mshirika-Benjamin Netanyahu
Tazama nilichosema kwenye Mkutano wa Sera wa Kimataifa wa JNS >>

View: https://x.com/netanyahu/status/1917116976444440881?s=61

We jamaa nimefatilia jumbe zako kwa kweli mimi sio mfuasi wa maneno machafu na matusi lakini nasema kabisa we jamaa ni **** kweli.
 
Mimi pia nimefatilia jumbe zako nikajua wewe ni zuzu kabisa!!
 
Back
Top Bottom