Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni...
Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za...
Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Duterte alikamatwa...
Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na aljazeera ,moto mkubwa umezuka maeneo ya Jerusalem na kuzua hofu ya kupoteza maisha ya watu.
Waziri wa mambo ya nje ameomba msaada kutoka nchi jirani na za...
Habari za hivi punde ambazo ni mpasuko kupitia BBC zinasema Prince Charles wa Wales amepata maambukizi ya virusi vya Corona.
Prince alikuwa anafanya kazi zake kutokea nyumbani na haijulikani...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka takwimu ya orodha ya hospitali bora kabisa duniani na huku kwetu Africa hakuna hata hospital moja.
Sababu za msingi zipi hasa?
Jioni njema
Orodha ya Forbes...
Tarehe 11 April, jijini Dar Es Salaam huko Tanzania, kilifanyika kikao cha dharula kinachohusu hatma ya jeshi la SADC, Mission (failed) ya SAMIDRC.
Kikao hicho kiliwahusisha:
-General Rudzani...
Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko...
Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao
President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of...
Israel haitaruhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia Si sasa si kesho wala si milele.
Israel haitaruhusu kabisa kitendo hicho na ikibidi iko tayari kuingia vitani na Iran peke yake bila kuwa na...
Wanaukumbi.
NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda...
Hii nimeiona kwenye sikukuu ya Siku 100 za Rais Trump madarakani nikakumbuka onyo la mbunge mtarajiwa Steve Merenge kuwataka Wanasiasa wasichanganye na dini
Sidhani kama Malaria 2 ataifurahia...
Sijui maamuzi ya kuifanya Jordan kuwa wadhamini wa msikiti mtakatifu wa Aqswa yalifanyika kwa mtindo gani.Kinachoonekana maamuzi hayo yalikuwa na kasoro kubwa kwani waiokabidhiwa hawastahiki kazi...
Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana:
Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari...
Habari za waislamu hasa wa jamii ya kiarabu tuziwache pembeni kwanzo,kwani matatizo yao ni mengine kabisa.
Ama kwa wakristo duniani basi wangekuwa wanajitambua vizuri basi wangemuiga katibu mkuu...
Wanaukumbi.
This is an extremely serious incident for U.S. Navy.
It would mean hostile missiles or drones got past the carrier’s layered defenses (fighters, AEGIS ships, CIWS), showing potential...
Updates baada ya vita kuanza kati ya Iran na Israel 13/06/2025
Hakuna hata taifa moja la kiarabu litakaloheshimiwa na kuachwa salama kwa mtindo wa mayahudi kujikweza na kutaka kuitawala dunia...
Waingereza wengi wanadai mrithi wa kiti Cha ufalme mfalme mtarajiwa kama Baba Yake king Charles akifa, prince William anafanana Kama real estate agent Yani dalali.
Muonekano wake umekaa kushoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.