International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Masharti yawe ni mawili tu ama watuletee trilioni za dola walizompa Trump katikati ya mateso ya wapalestina au waingilie kati kuwaokoa kutokana na vifo vya njaa.Vyenginevyo tususie tende na...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame Hebu kumbuken huyu mwamba hana...
2 Reactions
8 Replies
610 Views
Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, imesambaa kwenye mifupa Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye...
0 Reactions
9 Replies
822 Views
IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano, raia kuhama haraka kutoka katika eneo hilo. IDF inasema Wapalestina wanaoishi ndani na karibu na mji mkubwa wa kusini wa Gaza wa Khan Younis...
1 Reactions
5 Replies
544 Views
Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Operation Gideon-Charriots inaendelea vizuri na itafanikiwa kuwabinya magaidi wa Hamas mpaka malengo ya vita yatimie. Mpaka asubuhi hii ya leo...
0 Reactions
12 Replies
507 Views
Hamas wanasema wamechoka kushikilia mateka. Na wameshtuka Netanyau anawatumia hao mateka kuwachabanga Hamas. Hataki waachiliwe. Yenyewe imechoka nao kwa sasa. Inasema ipo tayari kuwaachilia hata...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Huyu mtawala mpya wa Urusi ameamua kujitenga kabisa na Urusi na Iran na kuegemea magharibi, Juzi amekutana na Trump Saudi Arabia, jana ametangaza kuachana na Urusi kuzalisha pesa zake.
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Netanyau huyu jamaa inawezekana ni muda mrefu alikuwa akitafuta sababu ya kuwachabanga Hamas. Hamas wakajichanganya. Wakajaa kwenye mfumo. Sasa kichaa kapewa panga. Anapasua roho zao. Hamas...
6 Reactions
13 Replies
623 Views
Mimi: Hebu tupige stori kidogo kuhusu m23 congo Chatgpt: M23 (March 23 Movement) ni kundi la waasi lililoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lilianzishwa mnamo 2012 na...
3 Reactions
6 Replies
739 Views
Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa...
18 Reactions
74 Replies
3K Views
IDF inasema 'inanyakua maeneo ya kimkakati' inapozindua hatua za kwanza za uvamizi mpya wa Gaza unaoitwa 'Magari ya Gideoni' IDF inasema imeanzisha hatua za kwanza za mashambulizi yake makubwa...
4 Reactions
7 Replies
729 Views
Chanzo cha ugomvi kati ya Morocco na Algeria ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kisiasa, na kijiografia, lakini sababu kuu kabisa ni mgogoro wa Sahara Magharibi (Western Sahara). 1. Mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Katika ziara ya Trump kwa nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati iliyomalizika leo amekomba utajiri mkubwa wa nchi hizo.Trump amefanya mikataba mikubwa ya kibiashara na ya kiulinzi ndani ya...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Kweli Marekani imepata mchambaji! Hawa wasanii nao walijitakia wenyewe! Trump targets Taylor Swift and Bruce Springsteen on Truth Social The Dark singer accusing Trump of being "unfit" for...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndege-vita za Israel sasa hivi zinapiga kwenye bandari zinazomilikiwa na Houth hii inafuatia Jaribu lao la kurusha kombola la balestic huko Israel hata hivyo kombola hilo li lipo polewa na Mifumo...
4 Reactions
14 Replies
743 Views
China,Azerbajan na Iran kila moja kwa upande wake zimeilaumu India kuanzisha vita na Pakistan kwa sababu zisizo na msingi. Kwa upande wa Uturuki raisi Tayep Erdogan amesema yeye analaani...
17 Reactions
124 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom