Wadau hamjamboni nyote?
The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people...
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a.(BIBI) leo kabla ya SABATO kuanza hapo saa 12 jioni alishuhudia “LIVE” kipondo kilichokuwa kikishushwa kwa nguvu kwa Wahouth huko Yemen 🇾🇪...
Jamaa badala ya kuigiza wenyewe wamefanya uhalisia!
1) Wametumia choo!
flee the jail on Friday through a hole behind a toilet and scale a wall
2) Walinzi wanakuja kustuka baada ya masaa saba...
Waislamu wengi hasa kutoka Asia na Africa kwenye mitandao ya kijamii hasa Tiktok wamekasirishwa Sana na ziara ya Rais Trump katika nchi za Ghuba Saudi Arabia, Qatar na UAE.
Wameiponda hasa UAE...
Juzi Saudi Arabia makomandoo waliovalia kanzu nyeupe na mikanda mieusi huku bastola zikining'inia kiunoni waliwashangaza walimwengu Kwa kuwaandalia kahawa Trump.
Jana Qatar ulimwengu pia...
Kwa wazungu wa Marekani Taylor Swift wa kulia anaonekana amekuwa kibonge na sio wa moto tena kama alivyokuwa kushoto! Sio ajabu Trump hataki kuja Africa maana huku "mizigo" ndio kipaumbele na...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa FBI, James Comey alichapisha picha kwenye Instagram ikionyesha magamba ya bahari yakiwa yamepangwa kuunda namba 8647. Baada ya chapisho hilo, kulikuwa na mjadala...
Sanamu la kumuenzi mke wa Trump, Melanie Trump mwenye asili ya nchi ya Slovenia .limeibiwa na maharamia wa biashara ya vitu vya sanaa wanaojulikana kama Art Thieves
Inasemekana hilo sanamu...
Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja.
Lengo ni kuwasaidia...
🚨 GRAPHIC VIDEO: Report ya Awali ya Polisi: Anayeshukiwa Kudunga Kisu Shambulizi la Kigaidi katika Mji Mkongwe wa Jerusalem
Muda mfupi uliopita, afisa wa polisi alidungwa kisu katika Jiji la Kale...
Bunge la Seneti limeanza kuchunguza ombi la kumvua kinga ya useneta rais wa zamani Joseph Kabila siku ya Alhamisi, Mei 15. Akishutumiwa na mamlaka ya Kongo kuwa mshiriki wa kundi la waasi la...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan...
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t...
Kama mjuavyo Rai's Trump atafanya ziara Saudi Arabia hiv Karibuni.
Ila hii ziara kwangu naisubiri Kwa hamu Sana na nitaifuatilia Kwa Karibu kwasababu Tu ya hawa walinzi WA ikulu na mfalme wa...
Mwezi wa huu wa Mei mwaka 2025, ulimwengu umetikiswa na mgogoro mpya kati ya mataifa mawili yenye historia ndefu ya mvutano – India na Pakistan. Tarehe 6 Mei, India ilitangaza operesheni kali...
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa...
Msemaji wa Ikulu ya Marekani kupitia ukurasa wake wa Twitter ametamba kufungwa kwa msikiti mkubwa zaidi huko Abu Dhabi, Falme za Kiarabu kupisha ugeni wa Boss wake Trump. Anasema ni mara ya kwanza...
Afisa mkuu wa usalama: Mashambulizi ya hivi punde zaidi katika Ukanda wa Gaza ni ujumbe kwa Hamas
"Hii ni fursa ya mwisho kufikia makubaliano kabla ya kuzindua Operesheni ya Gideon's Chariots."...
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona...
Ndege kutoka Abu Dhabi ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Ramon huko Eilat Israel kuchukua Wagaza 600 kama sehemu ya mradi wa uhamiaji wa hiari.
Gaza wanatakiwa wabakie Magaidi tu ili wafyekwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.