Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao.
Kiongozi mkubwa wa Hamas...
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha...
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani.
Siasa
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha...
Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio.
Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya...
Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye...
Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire)
Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki...
Recently, there have been incidents where citizens from member countries have been traveling into countries territories to visit or for leisure and staying in hotels.
Some citizens have been...
Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini?
Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia...
Waziri Mkuu amewaita wanachama wakuu wa timu ya Doha kutokana na 'Hamas kukataa' makubaliano hayo kwa kuzingatia mfumo wa Witkoff, na kuwaacha nyuma baadhi ya wawakilishi.
Waziri Mkuu Benjamin...
IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika...
Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya...
Unaposifiwa na Hamas - shirika la kigaidi la jihadi ambalo linaua watoto na kuwabaka wanawake - uko upande mbaya wa historia. Ni fedheha iliyoje kusifiwa na magaidi? Ufaransa,Uingereza,Kanada na...
Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza
Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto...
Hali halisi ni tofauti na mitandaoni, Traoré amejijengea umaarufu mkubwa mtandaoni na kimataifa kwa msimamo wake mkali wa kupinga na kupunguza ushawishi wa super powers hasa Ufaransa na...
Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks...
Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.