Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Rais Donald Trump na Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani walitia saini mikataba mikuu ya ulinzi na kiuchumi inayolenga kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Qatar na kuimarisha uhusiano wa...
Usiku wa kuamkia leo Magaidi wa Hamas wamepata kipondo cha kufa mtu, Kipondo hicho ni katika maandalizi Operation pendwa ya Gideon’s Chariots inayotarajiwa kuanza mara tu baada ya ziara ya Trump...
Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na...
CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani
https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19
Leo...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s...
Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
IDF hawacheki na wowote. Pamoja na Hamas kwa sasa kujaribu kuchagua viongozi wao kimya kimya bado IDF wanapoamua kuwa check wanawacheck tu.
Kaka yake Mohammad alifumuliwa komwe na hao Mayahudi...
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.
Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.
Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa...
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela...
Moscow: Jenarali katili aliye iadhibu Ukraine pamoja na Wanamgambo wa NATO na kufanikiwa kuteka miji muhimu huko Ukraine ameamua kupunguza uzito kg 40 na kubaki na mwili mwepesi kiutendaji...
Mahakama ya rufaa ya Mauritania Jumatano imemuhukumu Rais wa zamani Mohamed Ould Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na kutoa faini ya dola milioni 3, na kuongeza kifungo cha awali cha miaka...
Serikali ya Sudan Kusini kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imekanusha uvumi unaosambaa kuhusu hali ya afya ya Rais Salva Kiir Mayardit.
Kupitia taarifa rasmi, wizara...
The United Kingdom is on the cusp of making history as Dame Barbara Woodward, a seasoned diplomat and former ambassador to China, is widely tipped to become the first woman to lead the Secret...
Msemaji wa IDF wa lugha ya Kiarabu ametoa onyo la kuhamishwa kwa maeneo kadhaa katika Jiji la Gaza, ikiwa ni pamoja na Hospitali ya Shifa na Chuo Kikuu cha Kiislamu hatakiwi mtu yeyote maeneo...
Jana katika ziara ya rais wa Marekani Trump wale panya wa Ikulu Saudi Arabia royal palace guards makomandoo walinzi wa mfalme walionekana wakiwaandalia kahawa Trump na MBS wakivaa kanzu nyeupe na...
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa...
Fikiria mateso ya wakristo na wayahudi wanaoishi middle east.
Fikiria muslim brother hood na itikadi kali itakavyo iharibu uchumi wa dubai, kuwaiti na saudia
Fikiria vibanda vya umachinga hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.