https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX
Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana..
Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi...
Video ya kusikitisha inayosambaa mtandaoni Nigeria inaonyesha Mvulana mdogo akiwa Madrasa kafungwa kwenye mti baada ya kupigwa viboko kwasababu ya kushindwa kuisoma Qur’an kwa sauti kwa lugha ya...
Jeshi la Israel Lafyatua Risasi kwa Ujumbe wa Kidiplomasia Katika Mji wa Jenin
Jeshi la Israel siku ya Jumatano lilifyatua risasi kuelekea ujumbe wa wanadiplomasia wa kikanda, Ulaya na nchi za...
Vita vya muda mfupi baina ya ndugu wawili India na Pakistan
Vilivyomalizwa na Dogfight (vita vya ndege kwa ndege)
Niliandika post hii muda ila sikuwa nimeipost kwasababu kadha wa kadha)...
Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana...
"Dhubul iBhulu! Kill the Boer, Kill the Farmer, Victory is certain".
Kauli tata iliyomuweka kikaangoni Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mbele ya Rais wa Marekani Donald Trump walipokutana mei...
#HABARI Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23...
Nimeangalia mkutano wa waandishi wa habari kati ya Rais wa Africa Kusini, Cyril Ramaphosa na mwenyeji wake Rais wa Marekani, Trump katika Ikulu ya Marekani nimeishia kumuhurumia na kuisikitikia...
Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo:
1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump
Trump ana historia ya kutumia matukio yenye...
Waarabu wameamua kumwabudu Trump
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha...
Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasilisha rasmi malalamiko katika Bunge la Kitaifa likitaka kuondolewa kinga kwa Constant Mutamba, Waziri wa Sheria ili apandishwe kizimbani...
Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao.
Kiongozi mkubwa wa Hamas...
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha...
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani.
Siasa
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha...
Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio.
Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya...
Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye...
Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire)
Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.