International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kufuatia mabomu ya Marekani kuharibu vinu vyote vya nuklia vya Iran Waziri wa mambo ya nje wa Iran ameitwa Moscow Naendelea kufuatilia utabiri wa askofu Gamanywa kwamba hii ni vita ya Gogu na...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha...
12 Reactions
87 Replies
4K Views
Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema afisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa...
1 Reactions
14 Replies
767 Views
Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran Gazeti la Washington Post limeashiria jinsi Marekani ilivyorudi nyuma kutoka eneo la Ghuba ya Uajemi katika miezi kadhaa iliyopita na...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Congo ndo kila kitu. Nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali pengine ndo inaoongoza Dunia nzima.congo ndo njiapanda ya utajiri. Congo ndo chanzo cha Africa kugawanywa ndo chanzo cha mkutano wa...
2 Reactions
8 Replies
636 Views
Nimechunguza kwa muda mrefu nimegundua kuwa Marekani inatawaliwa na Israel. Israel ina nguvu kubwa kuliko katika siasa za Marekani. Kwa wasio fahamu Israel iliwahi pia kushambulia meli ya kivita...
3 Reactions
11 Replies
749 Views
Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia...
6 Reactions
10 Replies
855 Views
Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
3 Reactions
8 Replies
798 Views
Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira. Hezbollah supporters...
1 Reactions
6 Replies
532 Views
Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua...
7 Reactions
15 Replies
777 Views
Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu...
3 Reactions
18 Replies
594 Views
Kuanzia uvamizi wa Urusi kwa Ukraine uzito na mwitiko wa yale matamko yake ya kulaani vita na vurugu yameendelea kupungua kusikika kwake na kuwa mepesi sana, Trump alipoingia madarakani kipindi...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Kwa bahati mbaya Iran wao hawaoneshi kinachotokea kwao. Sijui Wana Hali gani Wallah..!
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mpango maalumu tayari umeshaandaliwa unaitwa "maximum pressure 2.0” plan, ndani kuna njia kadhaa ikiwemo ya kuishambulia Iran kwa ndege za kijeshi. Taarifa kamili hapo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
I don't know why US is hesitating to attack Iran wanataka ushahid gani kudhibitisha kuwa ni magaidi? Irani ni tatizo sana wanafadhili vikundi kila mahali dunian wanagawa pesa na kila silaha...
6 Reactions
80 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa...
10 Reactions
216 Replies
11K Views
Ndege isiyo na rubani ya Iran yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Taifa lenye jeshi lenye Nguvu duniani limeshindwa kuishambulia Iran just kwa sababu nchi nyingine imesema haitamsaidia kulipiza😂 The US president reportedly talked the Israeli prime minister out...
12 Reactions
115 Replies
7K Views
Back
Top Bottom