Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Washington Post: Marekani inaogopa nguvu za kijeshi za Iran
Gazeti la Washington Post limeashiria jinsi Marekani ilivyorudi nyuma kutoka eneo la Ghuba ya Uajemi katika miezi kadhaa iliyopita na kuripoti kuwa viongozi wa nchi hiyo wana wasiwasi kutokana na uwezo wa kijeshi wa Iran unaozidi kuongezeka.
Kwa mujibu wa Washington Post, wasiwasi wa viongozi wa Marekani umezidi kuongezeka kutokana na uamuzi wa wizara ya ulinzi ya nchi hiyo Pentagon wa kuzielekeza nje ya eneo la Ghuba ya Uajemi meli, ndege za kivita na mifumo ya ulinzi wa makombora, sambamba na kukaribia muda wa kuanza kuwekwa tena vikwazo dhidi ya Iran katika sekta ya nishati.
Washington Post limebainisha kuwa, kutokana na kubadilika vipaumbele vya usalama wa taifa vya Marekani katika serikali ya Trump, na kushughulishwa zaidi fikra za Ikulu ya White House na mashindano ya kijeshi kati ya nchi hiyo na China na Russia, harakati za Marekani katika Mashariki ya Kati zimepungua.
Kabla ya hapo, gazeti la Wall Street Journal liliwahi kuandika ripoti inayofanana na ile ya Washington Post kwa kueleza kwamba, licha ya kauli za uropokaji zilizotolewa mara kadhaa na viongozi wa Washington, vikosi vya jeshi la Marekani vimekuwa vikirudi nyuma kutoka eneo la Mashariki ya Kati.
Kwa mujibu wa gazeti hilo, tangu mwezi Machi mwaka huu wa 2018, wakati manowari ya Theodore Roosevelt ilipoondoka eneo hili na kuelekea Bahari ya Pasifiki, hakuna manowari nyingine zozote za ushambuliaji za Marekani zilizoshuhudiwa katika Ghuba ya Uajemi.
Gazeti hilo limebainisha kuwa, katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, hiki ni kipindi kirefu zaidi cha kutokuwepo manowari yoyote ya Marekani ya kubebea ndege katika maji ya Ghuba ya Uajemi.

Picha: Wanajeshi wa marekani walivyokamatwa na Iran
4bk151b724cde32ks0_800C450.jpg
 
Picha: Wanajeshi wa marekani walivyokamatwa na IranView attachment 921750
Tunawasubiri pro-America na mipovu yao ya Omo
 
Acha kulaghai watu hapa,Iran haijawahi kukamata wanajeshi wa US,hiyo picha ni ya wanajeshi wa Uingereza zaidi ya miaka 10 iliyopita walikamatwa na jeshi la maji la Iran wakituhumiwa kuingia ktk mpaka wa Iran na waliachiwa bila masharti enzi za Tony Blair na Bush akiwa US President.
Wewe jamaa ni hatari sana
 
Kwamba unakataa au ? Tena umebisha kwa uhakika kweli yani. Kazi sanaa!
https://edition.cnn.com/2016/06/30/politics/iran-navy-capture-investigation-report/index.html
 
Walikamatwa mkuu, angalia ata YouTube yenu hio video ipo, walikamatwa na meli yao ya kivita kubwa ikatekwa coz walijaribu kuvuka bahari wakaingia bahari ya ya ndani ya Iran kimakosa, kwanza walichofanya Iran ni kutuma dron kwenda kuchunguza thn walituma ndege zao za kivita baada ya kusoma mchezo wote, alaf zilitumwa manuari na boti za kivita pamoja na helikopta za Iran zikazunguka meli ya USA, wakaambiwa wajisalimishe, makomandoo wa Iran wakaingia ndani kwa nguvu huku helikopta zikiwa juu na ndege, wakatekwa kiulaini, alaf mlikua na wanajeshi wa kike wa marekani mle ndani wote atua ya kwanza walipewa hijabu wafunike uchi zao.
Acha kulaghai watu hapa,Iran haijawahi kukamata wanajeshi wa US,hiyo picha ni ya wanajeshi wa Uingereza zaidi ya miaka 10 iliyopita walikamatwa na jeshi la maji la Iran wakituhumiwa kuingia ktk mpaka wa Iran na waliachiwa bila masharti enzi za Tony Blair na Bush akiwa US President.
Wewe jamaa ni hatari sana
 
Tu shabikie tu hawa waarabu waendelee kupata nguvu za kijeshi ndio utajua mwarabu ni nani hasa sisi waafrika wanavyoamin ngoz nyeusi ni watumwa kwaooo hii hii
 
Iran imeimarika kijeshi ila bado wako mbali sana kuitisha Marekani. "Bado chipukizi "
Kabisa, lakini sasa wakiamua kukinukisha pale mashariki ya kati hasahasa kwenye ghuba ya Hormuz ni lazima Marekani na dunia nzima tuumie. Sehemu ile kwa siku inapitisha mapipa ya mafuta milioni 17 unategemea wakipafunga hata kwa wiki tu kuna kwenda kazini wewe huku Tanzania ?

Yaani jiografia imempa rungu zito sana.
Marekani na Wayahudi wanajua vizuri kuhusu hili na ndiyo maana wanacheza taratibu kweli na kwa hatua wakiona ni bora kutengeneza mapinduzi ya kisiasa ndani ya Irani kwa kupitia vikwazo vya kiuchumi kuliko kuvamia kijeshi.
 
Ila kama Iran kweli akijaribu kufunga hiyo njia huenda wakaenda UN kushinikiza azimio la kuzuia shughuli za kijeshi kwenye ghuba ya Hormuz kama walivyofanya Libya na huenda ikawa mwanzo wa anguko la utawala wa Mamullah na kina Ayatollah wa Iran.
 
Kule umoja wa mataifa itakuwa ngumu kwasababu kuu mbili. Mosi, kama watakuwa wamemvamia Iran kijeshi bila azimio la baraza la ulinzi la umoja wa mataifa (Unilateral military intervention) basi hawataweza kabisa kurudi na kuomba ruhusa.

Lakini pili, kama ule mfereji utafungwa basi mafuta yatapanda sana bei na hii itakuwa neema kwa nchi kama Urusi ambazo asilimia 50% ya pato la nchi yake hutegemea mafuta hivyo kule kwenye Baraza la Umoja wa mataifa lazima atapiga kura ya hapana.

Marekani leo hii ndiye mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani lakini pia ndiye mtumiaji mkubwa sana wa mafuta na gesi hapa duniani. Kama bei za mafuta zitapanda ina maanisha kwamba raia wake wataumia sana na bei ikishuka ni neema kwa raia wake maana watanunua sana mafuta. Hivyo hili analiangalia vizuri sana na anaogopa ule mchezo wa miaka ya 1973-74 (Oil Crisis) usijirudie tena.

Mwisho kabisa, kama ikitokea vita pale mashariki ya kati basi jua kwamba mataifa matatu makubwa yanayoongoza kwa kuzalisha mafuta duniani (Marekani,Saudi Arabia na Iran) yatakuwa vitani na hivyo uzalishaji lazima utapungua, hili litakuwa ni neema kubwa sana kwa Warusi na wataitumia hii nafasi vilivyo. Kama unakumbuka miaka ya 1974 Henry Kissinger alipotaka kuvamia Saudi Arabia kijeshi alifikiria jinsi gani watawapa nafasi wasovieti kwenye soko la mafuta na akaamua kuacha kabisa na kutumia diplomasia. The Middle East is too volatile my friend, the fate of the world depends on it.....
 
Kule umoja wa mataifa itakuwa ngumu kwasababu kuu mbili. Mosi, kama watakuwa wamemvamia Iran kijeshi bila azimio la baraza la ulinzi la umoja wa mataifa (Unilateral military intervention) basi hawataweza kabisa kurudi na kuomba ruhusa.

Lakini pili, kama ule mfereji utafungwa basi mafuta yatapanda sana bei na hii itakuwa neema kwa nchi kama Urusi ambazo asilimia 50% ya pato la nchi yake hutegemea mafuta hivyo kule kwenye Baraza la Umoja wa mataifa lazima atapiga kura ya hapana.

Marekani leo hii ndiye mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani lakini pia ndiye mtumiaji mkubwa sana wa mafuta na gesi hapa duniani. Kama bei za mafuta zitapanda ina maanisha kwamba raia wake wataumia sana na bei ikishuka ni neema kwa raia wake maana watanunua sana mafuta. Hivyo hili analiangalia vizuri sana na anaogopa ule mchezo wa miaka ya 1973-74 usijirudie tena.

Mwisho kabisa, kama ikitokea vita pale mashariki ya kati basi jua kwamba mataifa mawili makubwa yanayoongoza kwa kuzalisha mafuta duniani (Marekani,Saudi Arabia na Iran) yatakuwa vitani na hivyo uzalishaji lazima utapungua, hili litakuwa ni neema kubwa sana kwa Warusi na wataitumia hii nafasi vilivyo. Kama unakumbuka miaka ya 1974 Henry Kissinger alipotaka kuvamia Saudi Arabia kijeshi alifikiria jinsi gani watawapa nafasi wasovieti na akaamua kuacha. The Middle East is too volatile my friend, the fate of the world depends on it.....
gineus at work
 
Back
Top Bottom