Marekani inatawaliwa na Israel

Marekani inatawaliwa na Israel

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,389
Reaction score
12,674
Nimechunguza kwa muda mrefu nimegundua kuwa Marekani inatawaliwa na Israel.

Israel ina nguvu kubwa kuliko katika siasa za Marekani.

Kwa wasio fahamu Israel iliwahi pia kushambulia meli ya kivita ya Marekani.

Marekani atarukaruka pote ila akifika kwa master wake Israel anapiga goti anakuwa mpole.
 
Dini ya kikristo wa kilokole, wayahudi na AIPAC vimebeba nguvu kubwa ya Israel katika nchi ya Marekani.
 
Binafsi nawapenda wayahudi wanatumia akili kubwa kutawala siasa za mataifa mbalimbali kwa manufaa yao ukianza Marekani ukienda ulaya magharibi mpaka Russia
 
Makobaz yanapokea motooo kweli kwelii, hongera sn idf..
1000040972.jpg
 
Nimechunguza kwa muda mrefu nimegundua kuwa Marekani inatawaliwa na Israel.

Israel ina nguvu kubwa kuliko katika siasa za Marekani.

Kwa wasio fahamu Israel iliwahi pia kushambulia meli ya kivita ya Marekani.

Marekani atarukaruka pote ila akifika kwa master wake Israel anapiga goti anakuwa mpole.

umeshawahi kumsikia MUNGU WA ISRAELI?

kama bado, tenga muda umfuatilie! hasa wakati Nabii Musa akiwaongoza wana wa Israeli kutoka utumwani Misri. Soma hasa vitabu vya:
# KUTOKA
#HESABU

baada ya hapo hutoshangaa, unachokishangaa.

#free Lissu#
no reforms, no election!
 
inatawaliwa na wayahudi sio israel
Hakuna Israel bila Yuda.

Mwanzo 49:8-12
8 Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.

9 Yuda ni mwana-simba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakaye mwamsha?

10 Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki, Ambaye mataifa watamtii.

11 Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwana-punda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.

12 Macho yake yatakuwa mekundu kwa mvinyo, Na meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa.
 
Wayahudi (wa kabila la Yuda) ndio wana nafasi huko Amerika na Ulaya, Israel ina watu wengine pia...
 
Ha ha ha ha marekani kutoka kutawaliwa kupata uhuru kutawaliwa tena.
 
Back
Top Bottom