International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Breaking News Trump ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, - 19 Juni 2025, 12:30 asubuhi 2 Juni 18, 2025. (Brendan Smialowskyi/AFP) Rais wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa.... The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening. The military also...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri...
12 Reactions
117 Replies
6K Views
Ndo kusema kwamba wanamuogopa myahudi au shida nini ,nilitegemea jinsi Iran anavompapasa myahudi kwa kipindi hichi hawa Hama's,Hezbollah na houthi wangekua nawao ni muda wao wakulipa kisasi...
0 Reactions
18 Replies
518 Views
Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Sunday, June 22, 2025 Netanyahu: I promised Iran’s nuclear sites would be destroyed, and I kept that promise By Jacob Magid Follow...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
—❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs...
6 Reactions
16 Replies
990 Views
Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua...
3 Reactions
14 Replies
905 Views
Hawa wa Israel ni changamoto sana.
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena. Hii imekaaje wakuu? Kuna ukweli wowote?
12 Reactions
259 Replies
20K Views
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power. Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake. Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Ndege zinaruka na kujipigia chochote, hamna Kinga wala namna ya kuzuia, zinapiga popote na chochote, kwa utashi wa rubani, yeye ndiye anaamua apige nini akiwa huko angani.... Israel's military is...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Habari ya mjini ndio hio https://youtu.be/Zi_zcRCWIq8?si=EceJr5gN4HaAB4tI Iran pia kasema Dimona Nuclear inaweza kuwa target kutokana na vita inavyo kwenda.
3 Reactions
6 Replies
658 Views
Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Putin ametoa hilo wazo maana hayo madini ndio chanzo cha Israel kutembeza kichapo Iran, hivyo yakiondolewa huko Iran basi ugomvi utapungua, vinginevyo Israel itaendelea kuwinda vinyu vyote...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea...
1 Reactions
0 Replies
432 Views
Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu" - kauli ambayo sasa inaonekana kuwa muhimu...
4 Reactions
6 Replies
752 Views
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au...
10 Reactions
135 Replies
5K Views
Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran - Al Arabiya Aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah Abu Ali al-Khalil aliuawa...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
22.09.2019 Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Jumamosi alisema Iran inahusika na mashambulizi ya Aramco. "Tuna uhakika kwamba makombora yanayolenga Aramco yanatoka kaskazini, sio Yemen. Saudi...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Back
Top Bottom