Mugabe ana kichaa!!

Gigo

JF-Expert Member
Aug 6, 2006
456
46
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya yale walio kua waki yazungumza ujanani..!!yawezekana walimfundisha ushujaa kabla topic haija isha wakapotea!!... wapo rafiki zake walio aga Dunia!!/ wapo rafiki zake walio achwa na kuacha madalaka huku nyuma yao wakizongwa na kashfa!!

nafikiri mgabe alipangwa vizuri akapangika na hao marafiki zake lakini mwishoni hakukuta kile alichokua ana tarajia...

labda nchi kubwa ya Africa!!...Tanzania inawajibika moja kwa moja na kichaa cha Mugabe!! vita mstari wa mbele na siasa ya ubaguzi kusini mwa Afrika... sijui unanielewa!!? au una endelea kulewa!!?
 
Tatizo la nchi zetu za kiafrika ni kushindwa kuweka na kuendeleza misingi mizuri ya Kidemokrasia.

Kama Wazimbabwe pamoja na ubabe wa Mugabe wangekuwa na uchumi mzuri, huenda asingepata upinzani mkubwa ndani na nje ya nchi (Gadaffi ni Mbabe lakini bado watu wake wanampenda kwa kuwa uchumi wake ni mzuri na watu wake hawalii njaa).

Kwa sababu ya Ubabe, usimamizi mbovu na uendelezaji wa uchumi, hali ya maisha imekuwa mbaya kiasi cha kumwondolea sifa ya mazuri yote aliyoyafanya huko nyuma.
 
Naona list ya vichaa haiwezi kuanzia kwa Bob, inaanzia mbali zaidi ya hapo. Ulishawahi kuangalia vituko vya marais wetu na wengineo katika bara hili kama Bongo au Biya? jiulize kwanini wanapewa support heavy!
 
NDIVYO TULIVYO!...
Umewahi kuona Mugabe na vibaka wengine wote wanavyoshangiliwa?..
 
Mkandara said:
Umewahi kuona Mugabe na vibaka wengine wote wanavyoshangiliwa?..

Mkandara,

..unajua wakati wa utoto wangu kulikuwa na vitoto havina nguvu lakini they survive kutokana na midomo michafu na matusi. nadhani Mugabe alikuwa mtoto wa aina hiyo.

..sijui kama unakumbuka jinsi Mugabe alivyompaka Tony Blair kule Durban. halafu akamuita Condi Rice majina mabaya kabisa. juzi kamalizia kumlinganisha Jendaye Frasier na prostitute.

..kuna Jenerali wa jeshi la Zimbabwe ambaye amemuita balozi wa Marekani Zimbabwe house nigger. balozi huyu ni mmarekani mweusi.
 
Mkandara,

..unajua wakati wa utoto wangu kulikuwa na vitoto havina nguvu lakini they survive kutokana na midomo michafu na matusi. nadhani Mugabe alikuwa mtoto wa aina hiyo.

..sijui kama unakumbuka jinsi Mugabe alivyompaka Tony Blair kule Durban. halafu akamuita Condi Rice majina mabaya kabisa. juzi kamalizia kumlinganisha Jendaye Frasier na prostitute.

..kuna Jenerali wa jeshi la Zimbabwe ambaye amemuita balozi wa Marekani Zimbabwe house nigger. balozi huyu ni mmarekani mweusi.[/QUOTE]

Yaap, because he see himself better than field nigger!!
 
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya yale walio kua waki yazungumza ujanani..!!yawezekana walimfundisha ushujaa kabla topic haija isha wakapotea!!... wapo rafiki zake walio aga Dunia!!/ wapo rafiki zake walio achwa na kuacha madalaka huku nyuma yao wakizongwa na kashfa!!

nafikiri mgabe alipangwa vizuri akapangika na hao marafiki zake lakini mwishoni hakukuta kile alichokua ana tarajia...

labda nchi kubwa ya Africa!!...Tanzania inawajibika moja kwa moja na kichaa cha Mugabe!! vita mstari wa mbele na siasa ya ubaguzi kusini mwa Afrika... sijui unanielewa!!? au una endelea kulewa!!?

kweli nyani haoni kundule..! kama ndo hivyo basi mbona maraisi wote wa kiafrika ni vichaa kuanzia na raisi wetu, hosni mubarak, nguema, paul biya, omar bongo nk. pia maboga (viongozi) wetu wote wa bongo basi nao ni vichaa.... waziri wetu wa fedha anatuletea bajeti ya mwaka jana, waziri mkuu wetu anatufunga makamba ya meremeta ni kampuni ya jeshi, raisi wetu amemuuzia nchi sinclair who now has full control of all mining and offshore concessions na kunfanya huyu siclair to be like damn king leopold. pia alsmost wananchi wote nao wana ugonjwa huo huo manake itafika wakati wa uchaguzi tutapewa kanaga na t-shirt za ccm, bia na pilau na tutasahau madhambi yote yaliyofanywa na serikali na tutaishia kuwachagua tena mafisadi. the zimbabwe problem was created by the brits and they should handle it themselves.
 
Kama ni kweli BUSH alikuwa akipigania uhuru wa Muiraki kama anavyotaka kufanya kwa WAZimbabwe...Then mujiulize...Maisha ya muiraki ni BORA?

IRAKI NI MOJA?

Style yao ya kumsapoti Tsivangira...Wanataka ZIMBABWE MOJA?

WHAT ABOUT ONE AFRIKA?

Saddam alikuwa mbaya..Nani alimpa silaha za maangamizi?

Nani atampa silaha Tsivangirai?

Kwa nini?

Iraki ni nchi ya pili kwa mafuta duniani...Then..kwanini mafuta sasa ni kama anasa nchini mwao?

Zimbabwe ikiwalisha wazungu..Kwanini wananchi wake wanakufa njaa?
 
Majibu tafadhali!

JmUshi1: Bush is nuts but the difference is that he is not allowed to stay 'until God removes him' yeye anajiondokea after 8 years na hapa katikati he had to fight for his seat fair and square. Also bush is held accountable by the congress etc kwa kila kitu including Iraq na kama unafuatilia utakuwa umesikia kwamba there are steps taken to try him for war crimes. Lakini Mugabe is a different category! He is not only nuts but he is a sadist!
 
Hivi Hawa Jamaa Hawajifunzi Kutoka Kwa Mandela!? Jamaa Anapeta Kinomaa, Naona Sasa Hivi Mandela Anapeta Hata Kuliko Alivyokuwa Raisi.
 
JmUshi1: Bush is nuts but the difference is that he is not allowed to stay 'until God removes him' yeye anajiondokea after 8 years na hapa katikati he had to fight for his seat fair and square. Also bush is held accountable by the congress etc kwa kila kitu including Iraq na kama unafuatilia utakuwa umesikia kwamba there are steps taken to try him for war crimes. Lakini Mugabe is a different category! He is not only nuts but he is a sadist!

Mugabe alijuwa UHURU HAWAKUUPATA KWA KUPENDA KWA WAZUNGU!

Akawapa benefit of doubt na kuwapuuzia wazalendo waliokuwa wakiona mbele kuwa mazingira wazungu waliyoondokea...Yanaonyesha wazi kabisa kuwa walijipanga namna ya kurudi kabla hata hawajaondoka!

Hivi kweli kama AFRIKA tukipata maendeleo yetu..TUTAMLILIA MZUNGU WA NINI?

NA yeye anajua wazi kuwa sisi kupata maendeleo....NI UKOMBOZI NA UHURU WA KWELI...SASA WEWE UNAAAMINI WANATAKA TUPATE MAENDELEO KWA KUMUUA MUGABE?

KWELI HUH?
 
Umen-changanya mangi!!!!!!

Swala la msingi, ni kuwa mugabe alishafanza kazi yake, kwa wakati wake-anastahili pongezi. Mfano twampongeza kwa ukombozi wa zimbabwe pamoja na makomrade wenzake. Cha msingi kwa sasa akae kando ili wengine wafanye yale yanayotakiwa yafanywe sasa.

Kufanya hivyo haimaanishi, usaliti wala kushindwa. Ni maswala ya kusoma alama za nyakati tu!!! Walishafanya watu maarufu kama Mz Madiba na J.K Nyerere. kilichotokea walikuwa maarufu na mashujaa zaidi ya hata pale walipokuwa madarakani.
 
Soma Historia na msiwe mashabiki!

Wazungu wanarudi AFRIKA!

WE UNAAMINI TUKO HURU?

NA UKISEMA YES TUKO HURU...BASI NA WEWE NI FYATU!

MWALIMU NAYE KUONDOKA KWAKE MADARAKANI NI BAADA YA ANGUKO LA URUSI...!

NA YEYE KAMA MUUMINI WA UJAMAA...HAKUTAKA KUSHIRIKI KWENYE MCHAKATO WA UBEPARI CHINI YA MBEPARI AMBAYE SASA NDIYE AMEKUWA BWANA WA MWAFRIKA MARA BADA YA KIFO CHA USSR!

SASA NI MCHINA!

JE..UNAJUWA MCHINA YUKO NORTH RHODESIA?

MMAREKANI AMWACHIE NA SOUTH?

NORTH KOREA NI MCHINA..MMAREKANI AMWACHIE NA SOUTH KOREA?

TAIWAN JE?

MNAJUA HISTORY?

SASA KAMA NI HIVI...? KUUZWA KWA NCHI YETU....TUUZE NA BARA?

TUPIGANIE MABWANA KAMA VYANGUDOA?
 
Soma Historia na msiwe mashabiki!

MWALIMU NAYE KUONDOKA KWAKE MADARAKANI NI BAADA YA ANGUKO LA URUSI...!?

JKN aliachia madaraka 1985, USSR ilisambaratika early ninties!!!!!

Any way you have a point JMushi. lakini ukweli mzee mugabe amechoka. acha akale pensheni. Cha msingi nani anachukua innji!!??? Kama ni kibaraka NO WAY! Afrika can not afford to go back there.

kwa Morgan Tsvangirai, itabidi wazimbabwe wapime wenyewe kama ni mzalendo au la. Hata hivyo iwapo morgani ni kibaraka, hilo ni tatizo la ziada la Mz mugabe kwa kung'ang'ani kwake madaraka, kwani alipaswa aandae vijana wanamapinduzi wa kumrithi. Ndivyo alivyofanya Mz madiba na hata mwalimu alifanya hivyo, japo wateule wa JKN walimuangusha.
 
Hilo Ndio Lilikuwa Tatizo La Jkn Aliuamini Ujamaa Na Hakusikiliza Cha Mtu Na Ujamaa Wake. Sidhani Kama Alisikiliza La Mtu, Sasa Ussr Inakwenda Kuanguka Na Yeye Ndio Akaondoka. Na Aliowaacha Ndio Wanataka Kuongoza Milele Kwa Sababu Ni Wengi Tu Wanaoniita Mimi Ni ``taifa La Kesho`` Toka Niko Mtoto Mpaka Leo Hii Nina Watoto Lakini Bado. Mugabe Nadhani Hamuamini Mtu Anajiona Yeye Peke Yake Ndiye Anayefaa Na Ndio Maana Hakuandaa Mtu. Nadhani Mnawaona Hata Kina Mseveni Wanapindisha Sheria Ili Wabaki Katika Uongozi. Kuna Mtu Humu Jf Kaandika ``waafrika Ndivyo Tulivyo`` Na Ni Kweli
 
jkn Aliachia Madaraka 1985, Ussr Ilisambaratika Early Ninties!!!!!

any Way You Have A Point Jmushi. Lakini Ukweli Mzee Mugabe Amechoka. Acha Akale Pensheni. Cha Msingi Nani Anachukua Innji!!??? Kama Ni Kibaraka No Way! Afrika Can Not Afford To Go Back There.

kwa Morgan Tsvangirai, Itabidi Wazimbabwe Wapime Wenyewe Kama Ni Mzalendo Au La. Hata Hivyo Iwapo Morgani Ni Kibaraka, Hilo Ni Tatizo La Ziada La Mz Mugabe Kwa Kung'ang'ani Kwake Madaraka, Kwani Alipaswa Aandae Vijana Wanamapinduzi Wa Kumrithi. Ndivyo Alivyofanya Mz Madiba Na Hata Mwalimu Alifanya Hivyo, Japo Wateule Wa Jkn Walimuangusha.

History Kweli Imekupiga Tobo!

USSR Iliangushwa Na Reagan Miaka Ya 80!

REMEMBER GORBACHEV?

Miaka Ya 90's Ni Kichaka Sr Na Buzi La Lewinsky!

WAO WALILIA NA SADDAM KAMA WANAVYOFANYA KWA MUGABE!

NA WAKATI HUO MZEE WA RHUKSA AKIYAFANYA YALE ALIYOOGOPA KUYAFANYA MWALIMU!

MWALIMU ALISEMA ANANG'TUKA!

HAKUONDOKA KWA KUPENDA...BALI HUZUNI ZA SERA ZILIZOSHINDWA KABLA YA KUANZA.

NA KWASABABU UJAMAA NI KAMA DINI...KUMWAMBIA ASIMAMIE UBEPARI NI SAWA NA KUMLAZIMISHA MSILAMU ALE POKU!

MSWAHILINA RHUKSA NAYE AKAMPIGA VIJEMBE NA KUTANGAZA KUWA KULA POKU SASA RHUKSA! KWA TAIM YAKO TU JIPENDELEE!

WABONGO NAO WALIVYOKUWA FYATU...WAKA MISTRANSLATE....BUCHA NA MIKITI MOTO IKAANZASHWA HADI MISIKITINI!

TENA AKADAI HATA CHURA KULA CHURA PIA RHUKSA!

MWALIMU AKAMWITA AKAMWAMBIA THATS NOT THE WAY...KWAMBA KUINGIA KWENYE UBEPARI HAINA MAANA YA KUGEUZA UKULU PANGO LAO!

MTUPU NAYE (MKAPA)....

AKAONA JINSI WABONGO WALIVYO PUMBAVU...KWANI BADALA YA KUELEWA KUWA SASA NI FREE MARKITI...WAO WAMEFUNGUA BIASHARA ZA KITI MOTO!

NA KWA UREFARII WA MWALIMU...AKAGWAYA..ILA HAKUTAKA WABONGO WAJUE KINACHOENDELEA...NAONA ALIJUWA MWALIMU YUKO UKINGONI KUFA..!KWANI HATA DILI ZA KUUZA NCHI JUMLA ZILIANZA A COUPLE OF YEARS BEFORE JKN DIED.

MTUPU YEYE AKAJA NA MASAMIATI....CHANGA LA MACHO, AMA HATA UKIPENDA USANII....AKAJA NA "WHITE PAPER" MAELEZO AMBAYO YALIKUWA YAKIELEZEA KUWA SASA UBINAFSISHAJI MEANS NCHI KUUZWA!

BAADA YA WHITE PAPER AMBAYO WANANCHI BADO WALIKUWA WAKI ASSOCIATE NA NGURUWE WALIZOAMBIWA WALE NA MWINYI...AKAUNDA PRSC.

KWA USIMAMIZI WAA BOT,PRSC NA WIZARA YA FEDHA...NCHI IKAUZWA JUMLA!

WABONGO NAO BADO PUMBAVU SANA TU!

WALI MISUNDERSTAND AGAIN....WAKAANZA KUITA POKU WHITE PAPER!

SASA SIJUI TUMEROGWA AMA NI NINI!?

NA KAMA MAWAZO YETU NDIYO HAYA...BASI HATA TUKIRUDI UTUMWANI NI SAWA TU!

ILA MIMI SIMO!

Got It?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom