Wikileaks: Tanzanian diplomatic scandals and Dominique Strauss-Kahn's case

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Sakata la Dominique Strauss-Kahn laibua upya skendo za wanadiplomasia wa Tanzania
2011-05-18 WikiLeaks Notes: Diplomatic Sexual Abuse a la Strauss-Kahn

wikileaks.jpg

FROM THE CABLES/GITMO FILES

Dominique Strauss-Kahn may be just one of many diplomats or international officials alleged to have abused maids or nannies in the United States:

In April 2007, a Tanzanian maid filed a lawsuit against Alan Mzengi, a minister-counselor at the Tanzanian Embassy. She alleged the Mzengis kept her as "a virtual prisoner in their residence, stripping her of her passport, refusing to permit her to leave the house unaccompanied." The lawsuit states she was not paid for her four years of work.

On this case, Reuters reports a US State Embassy cable from December 2009 shows the US government asked the Tanzanian government to investigate saying, "While payment of the lost wages to Ms. Mazengo is our first priority, we also hope that any diplomat who has treated his domestic staff in such an abusive manner would face appropriate sanction upon his return home," the cable said.

The State Department continues to monitor a possible Tanzania investigation and claims it will be getting "tough on alleged abuse of domestic workers by foreign diplomats."

In a rare criminal case that began as an FBI investigation into alleged domestic worker abuse, a World Bank economist from Tanzania -- who, like Strauss-Kahn, qualifies for only limited immunity related to official duties -- pleaded guilty in March, 2010, to two counts of making false statements.

The economist, Anne Margreth Bakilana, hired a Tanzanian woman, Sophia Kiwanuka, to work in her home in Falls Church, Virginia, and improperly withheld Kiwanuka's wages and threatened to send her back to Tanzania, according to court records. Unaware that she had been taped by Kiwanuka at the request of the FBI, Bakilana then lied to federal investigators about her statements. She was sentenced to two years probation and fined $9,400.

A civil case is ongoing in federal court in Washington. Jonathan Simms, an attorney for Bakilana, said he believed she was not longer in the United States. A World Bank spokesperson did not respond to a request for comment.

Habari kwa kirefu
 
Na sasa Mzengi yuko wapi? alichukuliwa hatua gani? nadhani kwetu udhalilishaji wanawake ni kitu kinaruhusiwa nyuma ya pazia. Nilisikia hata kisa cha presidaa wetu alipotembelea mji mmoja na jinsi alivyotayarishiwa kigori mtoto wa mtu! kwa kweli ni aibu! Sidhani kama kuna hatua zozote zinaweza kuchukuliwa maana ni katabia ketu. Kama nasema uongo fuatilieni muone!
 
Husemi uongo. Maswala haya kwa kwetu sisi ni "kawaida."
 
Hiyo ya Anna B nilisikia mashosti walimfundisha binti wake jinsi ya kudanganya as alianza kuwa na tabia mbaya sana na alipomwambia atamrudisha nyumbani as hakuweza ishi nae tena ndio binti akamfanyizia na kumsemea hadi Anna B alikosa mazishi ya marehemu baba yake 2009

Hii tabia ipo kwa wasichana wengi wanaoletwa ulaya sisemi wote ila asilimia kubwa marafiki wa muajiri wanakuwas na wivu na wanataka wachukua bila costs za kulipia ndege UK nilisikia inafanyika sana tena sana.

Kwa hiyo kuna tatizo kubwa watanzania kuaribiana majina na kumfundhisha house help kwa wengi wanaochukuliwa kama majamaa kwenda kudanganya as watu wengi hata wa nchi zingine wanafanya hawafile kwa revenue kuwa kama muajiri na kulipa taxes.

Sasa sie tunarudishana nyuma as nchi nyingi wanafanya na hawasemehani kama sisi

Na kama mtu hata kama unanilipa na tunaishi vizuri kama hakuna PAY SLIP nikisema hujanilipa utaonyesha nini kuonyesha unasema ukweli as mnalipana chichini kwa chini

Wazungu hizi zao kila siku pia na hawasamehani ila sie bwiiii midomo na wivu juu
 
Hiyo ya Anna B nilisikia mashosti walimfundisha binti wake jinsi ya kudanganya...

Wazungu hizi zao kila siku pia na hawasamehani ila sie bwiiii midomo na wivu juu
Naona hapa unajaribu kumtetea muajiri bila ushahidi.
 
Tatizo waswahili tukichukuliwa na mkubwa fulani kwenda kumfanyia kazi nje unaona kama ndo maisha sasa yamenyoooka.... kumbe yategemea na huyo Boss wako... waweza rudi umenawili tokana na hali ya hewa but empty handed....
 
Naona hapa unajaribu kumtetea muajiri bila ushahidi.

Kama umeisoma habari yangu vizuri utajua nimeileta sababu ninajua yaliyotokea ndani na mtu duniani ukisingiziwa kitu kama unahitaji cha kuonyesha na hauna inakuwaje?

Ndio msibani yalijulikana haya as mwajili alikuwa asafiri kumzika baba yake na ndio akapewa somo zaidi ya chakufanya asiondoke ulaya na ndio hayo yaliyotokea. binti aongozane nae akiwa anarudi tanzania nae amrudishe kwao kwa sababu alishindwa ishi nae kwa tabia sasa ndio mashosti wakamfunza cha kufanya etc hiyo ya kuongelewa kama yupo au hayupo nchini inakuja sababu binti alisubiri wafike airport na kujifanya anarudishwa kinguvu etc na unajua wazungu jaza hapo

Binti alikuwa hataki kurudi bongo na wengi wanafanya hivi wakigeuka na kuna waajiri wengi hadi leo wanaishi vizuri na binti zao.
 
Na sasa Mzengi yuko wapi? alichukuliwa hatua gani? nadhani kwetu udhalilishaji wanawake ni kitu kinaruhusiwa nyuma ya pazia. Nilisikia hata kisa cha presidaa wetu alipotembelea mji mmoja na jinsi alivyotayarishiwa kigori mtoto wa mtu! kwa kweli ni aibu! Sidhani kama kuna hatua zozote zinaweza kuchukuliwa maana ni katabia ketu. Kama nasema uongo fuatilieni muone!

tetesi: karudishwa kapewa kitengo nyeti nchini
 
Kama umeisoma habari yangu vizuri utajua nimeileta sababu ninajua yaliyotokea ndani na mtu duniani ukisingiziwa kitu kama unahitaji cha kuonyesha na hauna inakuwaje?
Hii stori siifahamu vizuri kwa hiyo sidhani kama itakuwa vizuri kwa mimi kuendelea kuichambua kiundani. Anyway, sijui ni nani wa kulaumiwa hapo, kati ya muajiri na muajiriwaji.

Haya mambo yametokea sana, hata kwa wale wanao"import" mabibi toka bongo. Mara nyingi "ndoa" huvunjika baada ya muda si mrefu halafu ndio utaanza kusikia minong'ono mitaani, eti bibi kafundishwa na mashosti kumtosa bwana ili aweze kupata mafao. Hapa inakuwaga vigumi kumuamini ni nani anayesema ukweli, kati ya bibi na bwana!
 
Na sasa Mzengi yuko wapi? alichukuliwa hatua gani? nadhani kwetu udhalilishaji wanawake ni kitu kinaruhusiwa nyuma ya pazia. Nilisikia hata kisa cha presidaa wetu alipotembelea mji mmoja na jinsi alivyotayarishiwa kigori mtoto wa mtu! kwa kweli ni aibu! Sidhani kama kuna hatua zozote zinaweza kuchukuliwa maana ni katabia ketu. Kama nasema uongo fuatilieni muone!
shangaa Mzengi bado anakula bata US
 
Back
Top Bottom