Dutch MP refuses to shake hands with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mbunge mmoja nchini Uholanzi amegoma kumpa mkono Waziri Mkuu wa israel Benjamin Netanyahu kama ishara ya kupinga mateso ya wapalestina mashariki ya kati.

Netanyahu yuko Nchini Uholanzi kwenye ziara ya kikazi.

====================
Video has emerged of a Dutch MP wearing a Palestinian flag pin refusing to shake hands with the Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu.

Tunahan Kuzu, a former Labour MP who founded the multi-ethnic, pro-immigration party Denk (Think) in 2014, made the gesture before Mr Netanyahu attended a meeting in The Hague with the Dutch parliamentary affairs committee while on a two-day visit to the Netherlands.

Footage of the incident shows Mr Kuzu withdraw his right hand from the Israeli leader as he extends his, telling him: “I refuse to shake hands with you”.

In a statement posted to Facebook, Mr Kuzu said his gesture was intended as a protest over the abuses committed against Palestinian civilians living under Israeli military rule in the occupied territories.

Mr Kuzu added that following the incident on 7 September, he confronted Mr Netanyahu away from the cameras with pictures purporting to show Palestinians being abused in Gaza and the West Bank, including one of a 12-year-old boy placed in headlock by an Israeli soldier, The Intercept reports.

He allegedly asked the Prime Minister if the pictures promoted “democracy, technology, and security in the region” – words Mr Netanyahu had previously used to describe Israel.

Following the rebuff, Mr Netanyahu said in a video message: "Today, we saw another clear example – of those who want peace and those who don’t", seemingly referring to Mr Kuzu.

On Tuesday, the US said it will provide Israel's military with $38 billion during the next 10 years - the largest batch of military assistance the US has ever pledged to another country.

The deal follows months of negotiations amid increasingly strained relations between Mr Netanyahu and the Obama administration.

Ties between the countries worsened significantly when the US and world powers struck a nuclear deal with Iran, who Israel considers to be an existential threat.

While last week, Mr Netanyahu drew sharp criticism from the US after he released a video message saying the Palestinians wanted to form a state devoid of a Jewish population and termed it "ethnic cleansing".

In the message, Mr Netanyahu said in reference to the removal of Israeli settlements in the West Bank: "The Palestinian leadership actually demands a Palestinian state with one pre-condition: ‘No Jews’. There's a phrase for that: ‘It's called ethnic cleansing. And this demand is outrageous’."

Source: Telegraph
 
Eti "No Jews"!
"7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao
."
 
Maanndiko ya wengine yanasema iko siku Jews watatandikwa mpaka wakijificha nyuma ta mti basi mti utasema huyu hapa na ndio maana wanakata miti kwa makusudi
 
sasa walipoleo ni kanaani au palestina?
 
Kama huyo jamaa ni kidume inabidi aanze ku boycott vitu vyote vya waisrael.. Tuone kama ataishije
Wengi wameachana navyo na wanaishi vizuri tu labda uwe limbukeni kama.........?e
Mkombozi china yupo na sasa north Korea wanakuja ki vingine mbona mtakoma
 
sasa walipoleo ni kanaani au palestina?
Waweza kukipa jina chochote kile jinsi upendavyo lakini Mungu ana "nomenclature" yake. Wewe waita Palestina lakini yeye akikitazama kile kipande cha ardhi anaiona Kanaani tena baadaye akaibadili jina Mwenyewe akaiita Israel.
 
Maanndiko ya wengine yanasema iko siku Jews watatandikwa mpaka wakijificha nyuma ta mti basi mti utasema huyu hapa na ndio maana wanakata miti kwa makusudi
Hukatazwi kuwa na maandiko yako! Mbona miungu iko mingi? Eti "watatandikwa" hilo neno lenyewe hilo! Limetamkwa na mungu yupi?
 
Back
Top Bottom