International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

IYADH, Saudi Arabia POLISI nchini Saudi Arabia wamemkamata mwanamume mmoja aliyempiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua mtoto akisema ni haramu kwa mwanamume...
7 Reactions
156 Replies
24K Views
Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani. Kundi la madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Maelfu wahamishwa, safari zasimamishwa Kusini mwa Taiwan kufuatia upepo mkali unaovuma kasi ya 370kph. ========== Hong Kong (CNN) Hundreds of people have been evacuated in southern Taiwan and...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Rais wa Gabon, Ali Bongo Ondimba amekubali ushauri wa kuhesabiwa upya kura za uchaguzi uliofanyika hivi karibuni na kuzusha machafuko baada ya wafuasi wa upinzani kugomea matokeo yaliyotangazwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana jamii forum, Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing vitu ninavyo tengeneza ni pamoja na PLASTIC IDENTITY CARDS(PVC’S)PLASTICS CERTIFICATES FOR COLLEGES (PVC)...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Aleksander Ceferin (48) wa Slovenia ametajwa kuwa Rais mpya wa UEFA akiungwa mkono na vyama 42 vya soka barani Ulaya. ====== Aleksander Ceferin has been elected as the new president of Uefa...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Ugiriki nimoja kati ya nchi zinazounda EU na nchi hiyo ina mdororo wa uchumi kama mdororo wetu hapa Tanzania. nasikikitika kuona hali ya ugiriki kiuchumi kudorora na wala sio jambo la kusifia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi la Syria limesema limeziangusha ndege mbili za anga za Israel. Baada ya Israel kutaka kushambulia eneo lilipo jeshi la Syria la Quneitra ======== Syrian army says it downed two Israeli...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
President Jacob Zuma has sent a message of condolence on behalf of the South African people to the government and people of Tanzania following a deadly earthquake which has resulted in the death...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndege mbili za kivita za Marekani zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia, B-1 Lancer, zimepaa juu ya anga ya Korea Kusini, siku chache baada ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la tano la silaha...
3 Reactions
43 Replies
11K Views
Mafuriko makubwa yanayoendelea Korea ya Kaskazini yamepelea takribani watu 133 kupoteza maisha na wengine 395 hawajulikani walipo. Watu 107,000 hawana makazi. ===================== Severe...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Korea Kaskazini 'kulipua bomu la nyuklia tena' 12 Septemba 2016 Maafisa wa korea kusini wametahadharisha kwamba huenda Korea Kaskazini ikafanya jaribio jingine la bomu la nyuklia wakati wowote...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amerudisha pesa zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafasi jinsi ilivyoamriswa na mahakama. Mwandishi wa BBC mjini Johannesburg anaripoti kuwa msemaji wa wizara...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
David Cameron leo amejiuzulu ubunge katika jimbo analoliwakilisha la Whitney. Hilo ni baada ya kukubali kushindwa katika kura ya maoni katika sakata la Uingereza Kujitoa au kubaki ndani ya Umoja...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu na Makamu wa Rais Inonge Wina wameapa leo kulitumikia taifa hilo kwa miaka 5. =========== Zambia has sworn in President Edgar Lungu amidst protests by the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Here are 10 of the worst lies that have been peddled by the West regarding Syria, with the aim of giving people living in Western countries an entirely false view of the conflict that has been...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Joe Biden huwa ananifurahisha sana. Jamaa ni kama mchizi flani hivi. Hebu ona hilo kumbatio...Hillary kwa kutumia lugha ya mwili anasema kabisa 'Joe imetosha, niachie basi'... Lakini Joe bado...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Mwanamke mmoja kutoka Ghana ajirusha ghorofani baada ya kugundua mumewe kampa ujauzito mama yake mzazi ======= A pregnant Ghanaian woman has committed suicide after finding her husband having...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Hillary Clinton not feeling well, leaves 9/11 event early (CNN)Hillary Clinton left the 9/11 commemoration ceremony Sunday early after she felt overheated and went to her daughter's apartment...
2 Reactions
96 Replies
10K Views
The Anadolu news agency reports that the Turkish authorities have sent tanks to its border with Syria. The Turkish military has sent 20 more tanks to an armored brigade it has stationed at...
0 Reactions
267 Replies
43K Views
Back
Top Bottom