Comred Mugabe aomba USA kuondoa vikwazo

Comred Mugabe aomba USA kuondoa vikwazo

MLAU

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2007
Posts
4,726
Reaction score
3,368
Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila kukicha kwa miaka 16 sasa.

Ametoa speech mzuri tu pamoja na umri mkubwa kwa dk 16

Ila wapate kiongozi mwingine wa nchi sasa.
 
Mh!Kweli wazungu wanajua kuwatumia binadamu.Miaka yote hiyo!Conspirantly.....
 
Amekubali yaishe eehh!! Kile kiburi chote this time ameomba yaishe! Aanze kukabidhi madaraka kabla hajafa kuepusha fujo! Aliemuandaa(ambae sio mkewe) aanze kumpa hayo madaraka imetosha sasa!!
Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila kukicha kwa miaka 16 sasa.

Ametoa speech mzuri tu pamoja na umri mkubwa kwa dk 16

Ila wapate kiongozi mwingine wa nchi sasa.
 
Amekubali yaishe eehh!! Kile kiburi chote this time ameomba yaishe! Aanze kukabidhi madaraka kabla hajafa kuepusha fujo! Aliemuandaa(ambae sio mkewe) aanze kumpa hayo madaraka imetosha sasa!!
Yap hana jinsi Hata speech yake safari hii haikuwa tena na matusi wala ubabe tena.

Kubali yaishe ila bado anasoma na kutamka maneno vizuri sana utapenda
 
Hapa kwetu bado twajifanya jeuri
Kama Urusi alilia alipopigwa sanctions sembuse sisi MapangaShaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] duh! Haka kamsemo ka "MapangaShaa" nakakuta sana humu leo..
 
Hapa kwetu bado twajifanya jeuri
Kama Urusi alilia alipopigwa sanctions sembuse sisi MapangaShaa
Haaa mapanga shaaaaaa, kama mugabe kasalimu amri hakuna atakayeweza kujifanya mwamba
 
Nawaonea tamaa ambao nchi zao marais wametoa speech, general assembly! Sisi rais hataki kwenda mbali anahisi Upinzani utakuwa huru!
 
"Baba mwenye nyumba anayehofia kupinduliwa na ndugu yake au mtoto wake hawezi kwenda safari za mbali na nyumba yake.."

Nawaza tu
 
Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila kukicha kwa miaka 16 sasa.

Ametoa speech mzuri tu pamoja na umri mkubwa kwa dk 16

Ila wapate kiongozi mwingine wa nchi sasa.
Chezea vikwazo weye?! Ameufyata sasa. Nchi haiendeshwi kwa kiburi, ubabe na maneno makali tu bali ni kwa mipango mahususi, umakini, ushirikishwaji wa umma na weledi wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom