Weusi wengi wanaouwawa Marekani na polisi ni kutokana na ubishi wao

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,452
17,156
Wimbi la askari wa marekani kuwaua wamarekani weusi bado linaendelea ambapo askari mmoja wa kike mweupe kamuua mtu mmoja mweusi ambae hakua na silaha.

Binafsi naona sehemu kubwa ya weusi wanaouwawa wengi wao hua ni kutokana na ubishi wao. Mnakumbuka yule dogo Brown alieuwawa kwa kukaidi amri ya polisi aliemtaka kudodonga bunduki bandia aliyokua nayo.

Matukio ni mengi ya mfano lakini hili la leo naona pia ni ukaidi wa watu weusi dhidi ya ukaidi wa amri ya polisi. Huyu wa leo alikua akiamriwa na polisi, akatii kwa kunyoosha mikono juu lakini hakusimama akaenda hadi kwenye gari yake upande wa dereva na akashussha mikono.

Hii ilipelekea askari wa kike kudhani kua mtu huyo anataka kuchukua bunduki yake iliyokua kwwnye gari au mfukoni, kwa nini alishusha mikono kabla polisi hawajamfikia,hata ningekua mimi ningemtwanga chuma.
 
Kuna dogo wa miaka 12 alikuwa anacheza na kitoy sikukuu ya christmass mwaka Jana tena park ya watoto cha kushangaza polisi waka mshoot

Kuna jamaa mzungu alichukua gari lake na kuanza kushoot watu hovyo barabarani lkn polisi walimnyenyekea hawaku mshoot .

Kuna Black's wangapi wanajisalimisha lkn wanapigwa

Polisi USA wanazingua japo wapo blacks wabishi
 
Hawa wamarekani weusi ambao wanajiona wanaonewa sana ebu waje wakae africa japo mwezi mmoja wajione polisi wa Africa wanavo watreat weusi wenzeo, ukipigwa risasi na polisi mzungu ujue wewe ni mbishi na hutaki kufata sheria. Ubaguzi sio tatizo kubwa kama wengi wanavyo amini.
 
Kuna dogo wa miaka 12 alikuwa anacheza na kitoy sikukuu ya christmass mwaka Jana tena park ya watoto cha kushangaza polisi waka mshoot

Kuna jamaa mzungu alichukua gari lake na kuanza kushoot watu hovyo barabarani lkn polisi walimnyenyekea hawaku mshoot .

Kuna Black's wangapi wanajisalimisha lkn wanapigwa

Polisi USA wanazingua japo wapo blacks wabishi

Rudini Africa kwani lazima muishi USA?
 
Yale yale niliosema jana kwenye hii mada kwamba weusi wengi wanaouwawa na polisi marekani ni kutokana na ubishi wao na kutokutii amri ya polisi.

Leo tena kuna mweusi mwingine kauwawa kwa ubishi wake na kukaidi amri ya polisi aliemtaka adondoshe bunduki aliokua ameishikiria. Jamaa akagoma polisi wakampa kaa la moto aseme nalo.

Polisi walikua kwenye doria ya kumtafta mhalifu mwingine gafla wakamuona huyo jamaa(marehemu,ambae sie alikua akitaftwa na polisi) akiwa kwenye gari kisha akatoka na bunduki mkononi, akaambiwa aidondoshe chini akawa mbishi akapigwa risasi na kufariki.

Ubishi mwingine hauna maana.

Soma hapa.
Charlotte Police: Man killed by officers holding gun, not book http://a.msn.com/r/2/BBws3Kf?m=en-us&a=1
 
Huyo kauliwa kwa ajili ya ubaguzi wa rangi tu.

Hakuna jingine.

Hata kama kauliwa na polisi mweusi...huyo polisi mweusi ni mbaguzi wa rangi.
 
Hawa wamarekani weusi ambao wanajiona wanaonewa sana ebu waje wakae africa japo mwezi mmoja wajione polisi wa Africa wanavo watreat weusi wenzeo, ukipigwa risasi na polisi mzungu ujue Wewe ni mbishi na hutaki kufata sheria. Ubaguzi sio tatizo kubwa kama wengi wanavyo amini.
ubaguzi ni tatizo kubwa sana wewe sababu hauishi huku hivyo hujui hali ikoje alafu cha ajabu unajifanya unajua.
 
ni

Hata mimi namshangaa Sana mleta mada.
Hajawahi kufika hata England tu... analeta mihemko ya kishamba humu, hivi huyu anawajua wazungu vizuri au anawasikia tu
 
Hoja hapa sio kufika england, hakuna aliesema ubaguzi haupo, hoja hapa ni aina ya mauaji au vifo vya watu weusi wanaouwawa na polisi.

Kwa mwaka huu tu polisi marekani wameua watu zaidi ya 660 kati yao 175 ni weusi na hao weusi sehem kubwa ni kutokana na ubishi wao.

Tunajua ubaguzi upo na hautaisha, sio kwa wazungu kwa weusi au wanawake kwa wanaume na hata weusi wenyewe wanabaguana, mfano magufuri wa ccm anawabagua wanaukawa, hilo liko wazi na sio lazima mtu afike england kujua hilo.
 
sio kweli wengine wanatii amri wanashuka kwenye gari na mikono juu
 
Hoja hapa sio kufika england, hakuna aliesema ubaguzi haupo, hoja hapa ni aina ya mauaji au vifo vya watu weusi wanaouwawa na polisi.

Kwa mwaka huu tu polisi marekani wameua watu zaidi ya 660 kati yao 175 ni weusi na hao weusi sehem kubwa ni kutokana na ubishi wao.

Tunajua ubaguzi upo na hautaisha, sio kwa wazungu kwa weusi au wanawake kwa wanaume na hata weusi wenyewe wanabaguana, mfano magufuri wa ccm anawabagua wanaukawa, hilo liko wazi na sio lazima mtu afike england kujua hilo.
we umejuaje wanauawa sababu ya ubishi wao? au unaongea baada ya kushiba wali maharage? au we ndio wale kuadithia mtu mitaa ya new york wakati hujawahi fika ata nairobi
 
Pamoja na kuuliwa na polisi, hawa wanungu nao wanamalizana wao kwa wao. Wewe fikiria, toka January mwaka huu mpaka September hii, katika jiji la Chicago; weusi 511 wameshauliwa na weusi wenzao!
 
Ila mi hapa naona tatizo ni racism angalia hata tunavyojadili mtu mweusi mbishi, hivi hao si wazaliwa wa huko inamaana hawazijui sheria wanazoshurutishwa? Pia tusipende kujishusha kisa walitutawala ndio iwe sababu ya kuwafanya wa-africa kama ni inferior race si wote ni binadamu rangi isitupelekee tubaguane, pia siku hizi hata waafrica wengine wanajichubua na kuvaa nywele bandia sasa tukianza kubaguana kwa rangi sijui utawaweka kundi gani???
 
we umejuaje wanauawa sababu ya ubishi wao? au unaongea baada ya kushiba wali maharage? au we ndio wale kuadithia mtu mitaa ya new york wakati hujawahi fika ata nairobi
Mkuu umeishawahi kusimamishwa na police wa huko, uliuwawa au ulipigwa sana???? Tuambie uliwatokaje wakakuacha kama ulivyo, maana nawe ni mweusi nadhani???
 
Ila pamoja na hayo yote nina hamu ya kwenda huko Marekani japo nikae hata masaa mawili nirudi. Mwe! nimechakalia hapa upareni toka nizaliwe hadi leo sijawahi kutoka nje ya wilaya kuosha macho kidogo.
 
Back
Top Bottom