The Rwandan government has allegedly refused entry to Rwanda to a 7-month old Rwandan baby returning from exile with her mother. The mother, Claire Nadine Kasinge and her baby have since...
Rais Yahya Jammeh wa Gambia ambaye ameliongoza taifa hilo la magharibi mwa Afrika kwa miaka 22, amekubali kushindwa na mpizani wake, Adama Barrow, kwa mujibu wa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi...
Rais Mteule Mr Trump amteua Gen Mstaafu James Mattis...Mad Dog jina la utani kuwa Waziri wake wa Ulinzi.
Ni Mtaalam wa kupanga mikakati ktk vita na alifanya hivyo vita ya Marekani huko Iraq na...
INDONESIA: Takribani watu laki 2 waandamana kushinikiza Gavana wa Jakarta, Basuki Purnama akamatwe kwa kuitukana dini ya Kiislamu.
Mpaka sasa imeripotiwa kuwa waandamanaji wapatao kumi...
Kituo cha radio cha Angola kimetangaza kuwa, Rais Jose Eduardo dos Santos, ambaye ametawala taifa hilo kwa karibu miongo minne atajiuzulu kabla ya Uchaguzi, mwaka ujao.
Waziri wa Ulinzi, Joao...
Wana jamvi nimeona hili niliweke hapa.
Kumbe siku za kuishi kwa mtu hupangwa na Muumba na wala si ADUI yako.
Hivi karibuni baada ya Fidel Castro kufariki.
Marekani na shirika lake la Kijasusi la...
[The Castro family clan |] is good,have a look at it! The Castro family clan |
In a country where the average salary is $20, the dictator and his family live a very different life from the 11...
ANGOLA: Rais Jose Eduardo dos Santos aliyedumu madarakani kwa miaka 37 ametangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi utakaofanyika mwakani.
Kiongozi huyo mwenye miaka 74 aliingia madarakani na kuwa rais...
The tyrant, semi God being, self proclaimed life president, dictator Mr. Yahya Jammeh has accepted the will of people to prevail. Let the people made President elect Mr. Adama Barrow prove and...
Ndege iliyokuwa imewabeba wachezaji wa timu ya mpira kutoka nchini Brazil ambayo ilipata ajali nchini Colombia inasemekana kwa muujibu wa taarifa zilizovuja ndege hiyo iliishiwa mafuta kutoka...
Mshindi wa tuzo ya Nobel mwenye asili ya Nigeria Wole Soyinka amesema Alhamisi kuwa ametimiza ahadi yake ya kutupilia mbali stakabadhi yake ya kuishi Marekani.
Mshindi wa tuzo ya Nobel mwenye...
Kuna uchaguzi leo Gambia na Rais aliyepo madarakani amezima intaneti na kuzuia simu kupigwa nje ya nchi kutoka nchini Gambia.
Rais Yahya Jammeh ametawala taifa kwa kipindi cha miaka 22.
Rais...
Mameya kutoka miji mikubwa duniani wamesema watapiga marufuku magari na malori yanayotumia mafuta ya Diesel katika miji yao ifikapo mwaka 2025
Viongozi hao kutoka miji ya Paris, Mexico City...
Mkurugenzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani CIA amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kwamba kusitisha makubaliano ya mpango wa nyuklia na Iran itakuwa ''hatari na upuuzi''.
Katika...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Mteule wa Marekani Bwana Donald Trump ametoa ya moyoni baada ya shambulio la kigaidi lililofanywa na kijana Mkimbizi kutoka Somalia.
Mwandishi maarufu na mshindi ya tuzo ya Nobel raia wa Nigeria Wole Soyinka, ametimiza ahadi ya kuichana kadi ya Uraia wa Marekani(green card).
Mwezi uliopta mshindi huyo wa tuzo la fasihi alisema...
Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia wake kwamba ataheshimu Katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika Uchaguzi mkuu ujao unaotegemewa kufanyika mwaka...
Rais wa Marekani bwana Donald Trump ametoa ramani ya ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani ili kuwathibiti Waamiaji kutoka nchini humo .
Amesema ukuta uo utaanza kujengwa mapema...