International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Misri imedhibitisha kwamba inamzuilia mwanahabari kutoka shirika la habari la AlJazeera aliyekamatwa Ijumaa. Wizara ya usalama wa ndani inasema mwanahabari huyo, Mahmoud Hussein...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Urusi imetangaza kupokea miili 10 ya waathiriwa wa ile ajali ya ndege iliyotokea katika bahari ya Black Sea hapo siku ya Jumapili. Maiti hizo zimesafirishwa hadi mji mkuu- Moscow. Abiria wote 92...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Nimemsikia Rais Obama akisema kuwa Rais wa Urusi Putin ameingilia uchaguzi wa Marekani ni kusababisha Bi Hilary Clinton kushindws Na Donald Trump.Najiulisha Urusi imewezaji kuingilia? Urusi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Image copyright BKA / HANDOUT Image caption Polisi wa Ujerumani wametoa picha za Anis Amri Mtu aliyeendesha shambulizi kwenyr soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mazungumzo yaliyokwisha juzi nchini DRC kati ya serikali na wapinzani yametoka na azimio moja la rais Kabila kuandaa uchaguzi kabla ya mwisho wa mwaka ujao 2017. Maombi yake ya kukaa hadi Dec...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Balozi Turkey alivyoponea chupuchupu kuvunjwa kichwa. Mpigaji naona hakuzipanga vyema karata zake. Alijaribu kufyatua huku bastola ikiwa kwenye safe akashindwa kutekeleza nia yake. Nu huko mjini...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya miaka 22 madarakani hivi karibuni rais wa Gambia alishindwa uchaguzi wa kidemokrasia. Cha ajabu hadi sasa ajakubali kushindwa, Majeshi ya nchi za afrika magharibi yakiongozwa na Senegal...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Wazee habari!!katika pitapita zangu mitndaoni nimekutana na hii.. First off, let me say, I have a team of experts that have given me their professional opinion on this video. The ruffling of his...
3 Reactions
89 Replies
10K Views
Amekili kabisa hakupata uungwaji mkono katika kampeni zake na vyombo hivyo hasa kutoka SILLICON VALLEY, Ila kasema wazi kabisa Hakuna Mtu Kama wao duniani, na ni watu wa muhimu sana kwa maendeleo...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Nchi ya Senegal hivi sasa ipo katika mgogoro mkubwa sana na taifa la Israel baada ya kuhusika katika UN kuanzisha azimio la kupinga ujenzi wa makazi ya wayahudi katika ukingo wa magharibi wa mto...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Durban Mother kills 6-month old baby to prepare family’s dinnerDurban Mother kills 6-month old baby to prepare family’s dinner This Durban mother is something else
0 Reactions
1 Replies
783 Views
More than 50,000 people had to be evacuated from a city in south Germany on Christmas Day after a 1.8-ton World War II bomb was found there. The bomb was discovered last week in Augsburg, during...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
A nation should not be judged how it treat it's highest citizen but it's lowest one
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Ndege ya jeshi la Urusi, iliyobeba watu zaidi ya 90, imeanguka katika bahari ya Black Sea , punde baada ya kuondoka Sochi, ikielekea Syria. Wizara ya Ulinzi inasema hakuna mtu aliyenusurika...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais mtata wa Ufilipino Rodrigo Duterte ametishia kuchoma moto makao makuu ya UN yaliyopo Newyork. "Nenda na kafungue shitaka umoja wa mataifa ,nitaichoma moto umoja wa mataifa kama...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Chini hapo ni video za mkusanyiko wa watu waliokuwa wanaapia kuwa Donald Trump kamwe hatoweza kuja kuwa rais wa Marekani. Nami nakiri kuwa nilikuwa mmoja wa hao watu licha ya kwamba uchaguzi wa...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Siku kadhaa baada ya kutokea tukio la kuuwawa kwa Balozi wa Urusi nchini Uturuki kwa kupigwa risasi kisha kujitokeza tukio lingine la lori kuingia katika soko linalouza bidhaa za Krismasi mjini...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Obama vows action against Russia over election hacks 3 hours ago From the sectionUS & Canada Share Image copyrightREUTERS Image captionMr Obama meeting Mr Putin at the UN in New York in 2015...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Image copyright AFP Image caption Ndege ya kijeshi ya Urusi imeanguka huko Black Sea Kuna hofu kuwa huenda abiria wote 92 wamefariki baada ya ndege ya jeshi la Urusi waliokuwa wakisafiria kuanguka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom