DONALD TRUMP EXECUTIVE ORDER ON IMMIGRATION.
Na Abel Elibariki.
Siku chache baada ya kuapishwa kwa Rais wa USA Ndugu Donald Trump, katika hatua zake za kutekeleza ahadi yake ndani ya siku 100 kama ilivyozoeleka kwa kiongozi yeoyote wa ngazi ya juu serikalini anaposhika hatamu.
Moja ya hatua ambazo rais huyo wa taifa kubwa duniania na imechukua na kuleta msisimiko mkubwa duniani ni baada ya kusain Executive Order on immigratuon inayohusu kuwakataza raia wa nchi saba (7) za Kiislamu ambazo ni YEMEN, LIBYA, SYRIA, IRAQ, IRAN, SOMALIA AND SUDAN.
LENGO LA EXECUTIVE ORDER.
Kutokana na maelezo ya Donald Trump mwenyewe wakati anasain sheria hiyo alisema lengo la sheria hiyo ni kufanya Marekani kuendelea kuwa sehemu salama kwa raia wake, kwani amajiandaa kikabiliana na Ugaidi na hiyo ni hatua tu ya kwanza katika mapambano yake.
Lakini Pia viongozi wengine akiwemo Cabinet Sec of Home Security bwana John Kelly pamoja na Spika wa Seneti wamejitokeza na kutetea uamuzi wa Donald Trump kuwa ni uamuzi unapasavyo kuungwa mkono.
KWANN IWE NCHI SABA TU.
Kwa maelezo ya John Kelly anasema nchi hizo kwa mda mrefu zimekuwa zinahusishwa na masuala ya Ugaidi sehemu mbalimbali duniani na ndiko chimbuko la vikundi mbalimbali vya Ugaidi mfano ISI, AL-QUIDA, ALL-SHAABAB.
Pia msemaji wa Ikulu Bwana Sean Spice amejaribu kijitetea kuwa uamuzi wa kufanya hivyo ni kutokana na serikali ya Obama ilikuwa imebaini nchi hizo kama chimbuko la Ugaidi.
JINSI ILIVYOPOKELEWA.
Hakika sheria hii sambamba na kauli kuhusu Wahamiaji imepokelewa na kupigwa zaidi sehemu mbalimbali duniani na viongozi dunia.
Kwanza tukianza nchini Marekani Acting Attorney General (Ms Sally Yates) ameipinga sheria hiyo na kuitupilia mbali na madhara yake tumeona ni kuondolea katika nafasi hiyo na Bwana ( Mrs Dana Boente) akateuliwa kukaimu wasifa huo muhimu na nyeti kwa taifa la Marekani na hata mataifa mengine wakati huo Bunge la seneti likijiandaa kumpitisha Ndugu Jeffy Sessions ambaye ndio ameteuliwa kuwa Attorney General.
Pili ni pingamizi kutoka kwa wanaharakati duniani kote wakiongozwa na akina James Lewis, Democratic and Humanitarian Activists,Religion,Bussunes and experts leaders na Students and Civil society Organization all over the world.
Tatu, Viongozi waandamizi wa Marekani kama Former Director of CIA and Former Cabinet Sec of Defense Ndugu Leon Panetta na viongozi wengine waandamizi waliowahi kuhudumu katika vyombo vya ulinzi na Usalama wote wamepingana na sheria hiyo na kusema sio suluhisho la kutokomeza Ugaidi nchini Marekani.
Nne,Republic and Democratic representatives in Senate house and Congressmen and Female representative wote wamepingana na sheria hiyo bila kujali itikadi zao.
Tano,Ofisi ya Rais mtaafu Obama na Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Democratic Hon.Hillary Clitton wote kwa pamoja wamepinga vikali na kuonesha msimamo wao kuwaunga mkono waandamaji kote nchini na duniani dhidi ya sheria hiyo.
Sita.Viongozi wakuu wakubwa mataifa ya Ufaransa Uingereza,German, Ukraine, Canada na Italy wote kwa Pamoja wamepinga sheria hiyo ya Donald Trump na kuona ni ya kibaguzi sana na haipaswi kuunga mkono na yeyote.
Saba, Wakuu na Vyuo vikuu vikubwa Nchini Marekani ikiwemo HARVARD, SAN FRANSCO,CAMBRIDGEAND RUTGEN UNIVERSITIES N.K wote kwa pamoja wamepingana na sheria hii na kusema ni kikwazo kwa knowledge exchange kwa dunia ya sasa ambapo watu wanabadilishana elimu na technolojia.
Nane, Makampuni makubwa ya teknolojia duniani yote kwa pamoja kupitia viongozi na wamiliki wamepinga sheria hii tangu siku ya kwanza kabisa wakieleza wasiwasi wao kuwa itakuwa kikwazo kwa wafanyakazi wa makampuni yao ambao hufanya kazi bila kujali mipaka na dini yoyote, nazo ni FACEBOOK, APPLE,GOOGLE NA MICROSOF COMPANIES N.K
Tisa, Pia Mayor na viongozi waandamizi wa miji ya Newyork, Virginia na Seatle wote kwa pamoja wamepinga na wamekuwa mstari wa mbele kwa kushirikiana na wanasheria kupinga sheria hii kwenye Supreme Court.
MAONI YA WADAU.
Wataalam wa masuala ya Usalama na Ulinzi duniani wakiongzwa na Former CIA director Ndugu Leon Panetta wanasema; Trump anatakiwa kujua kuwa Marekani ni nchi yenye mlolongo na serious vetting proccess of immigration Procedure kuliko nchi yoyote duniani hivyo sio rahisi kwa Magaidi kuingia nchini Marekani kirahisi.
Wanaamini sheria hiyo kuhusu wakimbizi imeibua mjadala mrefu wa sheria(The ban raises serious legal question).
Wadau wanasema no question the ban is based on religion(,Muslim) na ndio maana umesikia akisema Wakiristo katika mataifa hayo wanaruhusiwa kuingia nchini Marekani bila Kikwazo.
Ban order feeds ISI kwani inawapa magaidi kufanya recruitment ya watu pale ambapo wakimbizi watakosa pa kukimbilia.
Wadau wanasema hata familia ya Viongozi waandamini wa serikali ya Trump akiwepo yeye na familia yake wote ni chimbuko la wakimbizi, mfano Donald Trump is the Grand son of German.
Wadau wengi wameweka wasi kuwa kwa miaka mingi nchi hizo saba hazijahusishwa na aina yoyote ya Ugaidi iliyowahi kutokea nchini Marekani.
Wadau wametanabaisha kuwa sheria hii italeta madhara makubwa kwa serikali ya Donald Trump kwani inaweza ikawadhiri wamarekani waliopo sehemu mbalimbaki duniani.
Wadau wanasema serikali ya Donald Trump njia waliotumia kupambana na Ugaidi sio sahihi na imekuja katika mda mbaya ambapo dunia inakumbumbwa na janga la wakimbizi.
Mwisho: Hii Executive Order ya Donald Trump kuhusu Immigration akifanikiwa kuja Kuinforce hakika atakuwa ameshinda mtihani mkubwa.
Lakini hapohapo awe tayari kujiandaa na matokeo yake yakiwemo Suala la Ugaidi katika makazi ya watu wake sehemu mbalimbali.
Lakini pia awe tayari kubeba mzigo wa anguko la uchumi especially kwa makampuni ya technolojia na mengine yenye kutegemea masoko ya Ughaibuni.
Na Abel Elibariki
Common Mwananchi
Interested in Contemporary Issue
01.2.2017.