Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Mie nilifikiria hili suala la kugomea vikao huwa linafanyika hapa Africa tu lakini leo nimeshangaa wajumbe wa baraza la Senate la Marekani wamegoma kuhudhuria vikao vya kujadili na kuhidhinisha majina ya mawaziri na mwanasheria mkuu wa Marekani. Viongozi hao waliteuliwa na Rais Donald Trump na majina yao yalipelekwa kwenye baraza la Senate ili kuhojiwa na kuidhinishwa.
Kweli safari tutaona na tutegemee mengi kutoka kwa baba wa demokrasia duniani.
Kweli safari tutaona na tutegemee mengi kutoka kwa baba wa demokrasia duniani.