Trump amfyatua Mwanasheria Mkuu wa Marekani baada ya kupinga agizilo lake

Katiba ya USA inampatia mamlaka rais wa US kufanya maamuzi ambayo yana maslai kwa taifa bila ya kupitia (CMP) Constitution mojor policy kwani unaweza kwenda jela miaka 15 kwa kufanya unauthorised operation without congressional approval .
Kupitia Executive order rais anayomamlaka ya kutengua uteuzi wa mtunishi yeyote wa serikali ambae ameteuliwa na rais au ambae yupo chini ya mamlaka ya serikali si wale waliochaguliwa na wananchi kama member of Congress na senate

Rais amepewa mamlaka ya kutumia Executive order katika vipengele vitatu
1 Presidential determination(uamuzi wa rais)
2 Presidential memorandum(mkataba wa rais)
3 presidential notice( Ilani ya rais)
Viongozi karibia wote wameshatumia mamlaka haya ya Executive order
Bill Clinton ameshafanya maamuzi 308 kwa kutumia Executive order No 12834 kwa kipindi chote ambacho alikuwa ofisini kama rais wa Marekani
George Bush ameshafanya maamuzi 291 kwa kutumia Executive order No 13198 kwa kipindi chote cha miaka 8 ambacho alikuwa ofisini kama rais wa Marekani
Barack Obama ameshafanya maamuzi 276 kwa kutumia Executive order No 13489 kwa kipindi chote cha miaka 8 ambacho alikuwa ofisini kama rais wa Marekani
D.J .Trump ameshafanya maamuzi 7 kwa kutumia Executive order No 13765 kwa kipindi cha siku 11 ambacho yuko ofisini kama rais wa Marekani na kuna uwezekano akatumia Executive order sana kufanya maamuzi yake mengi na kumfanya kuwa ni rais wa Marekani mwenye maamuzi mengi ambayo hayakupitia kwenye (CMP) na wengine wanaweza kumwita ni Dictator kwani kutumia EO ni kama unafanya maamuzi pekeyako au kibabe kwa kutumia mamlaka ya Juu kabisa yani Taasisi ya Urais kwani urais ni cheo taasisi ni Ofisi ya rais ambayo inatambulika kama Oval Office
Note hizo Executive order No ni kumbukumbu file No kwani kala rais Executive order paper zake anazosaini zinaifadhiwa kwenye file moja
Lakini hii Presidential notice imetumika mara moja tu ndani ya US na aliyeitumia ni Bwana Harry Truman na ilijulikana kama Executive order No 00999 (DDB) The decision to drop the bomb .
Executive order hii ya Presidential notice inatumika pale nchi inapokuwa imevamiwa kivita au iko under attack kwa jina jingine inafahamika kama Code Red au Code 999
Sep 11 baada ya mashambulio ya kigaidi New york na DC Rais Bush alitaka kuitumia hii Presidential notice Executive order kutangaza hali ya hatari ndani ya US lakini akashauriwa na washauri wa mambo ya ulinzi na usalama kwani maamuzi yake ya kutumia Presidential notice Executive order yangepelekea hofu dunia nzima
Ndipo september 23 kwa kutumia Presidential determination Executive order No 13224 ambayo aliipatia mamlaka U.S. Department of the Treasury kutaifisha na kufunga mali,fedha,taasisi na kila kitu chenye kumilikiwa na watu wanaojihusisha na kufadhili,kusaidia na kushabikia ugaidi au vitendo vya kigaidi ndani ya US pia akatangazia washirika wa US dunian kufanya hvyo na alisema msemo mashuhuri wa "You're either with us, or against us"
 
Back
Top Bottom