Rais Donald Trump awabadilisha Republicans

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
583
Ikumbukwe kuwa kipindi cha kampeni mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama cha Repulican Donald Trump hakuungwa mkono na chama chake na hata nafasi ya kugombea urais lilikuwa ni shikinizo alilolitengeneza Donald Trump baada ya kushawishi nguvu ya umma ya wanachama wa chini wa chama hicho, kulishuhudiwa mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na wajumbe wa kamati kuu ya chama kutofautiana na mgombea wao kumbuka tukio la mgombea Donald Trump aliposema kuwa hatakubali matokeo endapo itatokea kuwa ameshindwa na alipohojiwa mwenyekiti wa chama alisema wao kama chama watakubali matokeo na hayo aliyosema mgombea ni yake tu.

Alhamisi ya jana Rais wa marekani wa 45 Donald Trump alikwenda kuhutubia mkutano mkuu wa chama ambapo kwa kiasi kikubwa kulishudiwa mabadiliko makubwa kutoka kwa wapenzi na wafuasi wa chama hiki ambao huko nyuma wakati wa kampeni walimpinga sana Donald Trump na hata spika wa bunge ndugu Paul D Ryan ambaye alikuwa mpinzani wa nguvu kwenye kampeni za chama leo hii ndiye anayeasisi mabadiliko makubwa ya sheria ambazo zinadhaniwa kuwa zilikuwa mbovu na kupitia yeye mabadiliko mengi sasa yanafanyika, kwa maana hiyo tunaweza kusema Rais Donald Trump ameweza kukibadilisha chama mtazamo wake juu yake na sasa wa-republican wanatembea kifua mbele wakisema maneno ya kishujaa ona wanavyosema

I think he’s completely winning the expectation game,” said Representative Peter Roskam of Illinois. “I think he’s a genius at lowering expectations and overperforming,” he said, adding, “It’s really remarkable.”

We are in a very good place on tax reform,” Mr. Ryan said. “It can get complicated when you get into the details of tax reform, but once we go through how tax reform works and what it’s going to take to get the kind of competitive tax system, the kind of competitive tax rates, I think most people agree that this is the right approach
my take usilolijua ni sawa na usiku wa giza

"Usipende sana " kwani utaumia sana", "usichukie sana" kwani unaweza kuunga mkono tena
 
Neno "kushindwa" halimo kabisa kwenye kamusi ya Trump. Ukisikia mtu aliyeelimika ndio huyu.
 
Back
Top Bottom