Huenda nchi nyingi zilizoathirika na marufuku ya kwenda Marekani zitaacha kutumia dola ya Marekani

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,950
Kutokana na Rais wa Marekani Donald Trump kuzuia raia wa nchi saba kuingia Marekani huenda nchi za Iran, Syria, Libya,Somalia, Sudan, Yemen na Iraq zikabadili mfumo wa matumizi ya fedha kutoka dola ya Marekani na kutumia fedha aina nyingine, Aidha, nchi ya Iran imeanza mchakato huo.
Wakati huo nchini Liberia wananchi wanapinga mpango wa unaoitwa Dollarization yaani matumizi ya dola kwa kila kitu na wanachi wanataka serikali ianze kutumia pesa zake za ndani yaani local currency

Chanzo: African news
 
Donald Trump atazifundisha nchi nyingi sana kuwa na confidence katika kujiendesha zenyewe bila ya kutegemeya msaada wa marekani !
Hapa atakuwa anawashika vipofu mikono wakati wa kula kitendo ambacho kitafanya vipofu washituke !
 
Back
Top Bottom