Republicans wana number za kutosh a kufanya chochote wanachotaka Kufanya bila kuhusisha democratic .Democratic wameadhibiwa na Trump kwa Kufanya fujo na ku boycott nominees .Sasa Trump hahitaji tena Democratic sasa hivi chochote atakachotaka kifanyike kitafanyika.