Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Sasa hivi nchi ya Uingereza inajiandaa kujiengua EU na tayari leo wamashapeleka maombi ya kufanya hivyo, mpka hapo sina tatizo kwa maana ni nchi yao na wanaamua wawe wapi na wasiwe wapi!
Lkn tatizo langu ni kwa nini Waafrika hatuna huo Uhuru? Gambia alijaribu kujitoa ICC na British commonwealth akavamiwa na regime change ikafanywa jambo la kwanza Serikali mpya ililofanya ni kuirudisha Gambia British Commonwealth na kuondoa maombi ya kujitoa ICC!
AK pia walitaka kujitoa ICC Kampeni chafu zikaanza ghafla maandamano na fujo zisizokuwa na mwisho ambapo wageni walikuwa wanashambuliwa na sasa Serikali ya AK imeamua kuahirisha kujitoa ICC na ghafla hakuna fujo wala mgeni akiyeshambuliwa nchini AK, ...
Mwafrika ni mtoto wa Muzungu!