AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,822
Meli hii inafanana kama ilivyokuwa meli ya Titanic ya awali ambayo ilizama baharini mwaka 1902
Tahadhari kubwa! Hii nayo itazamaMELI YA 'TITANIC II' KUZINDULIWA 2018,INASIFA HIZI ZA ZIADA | Swahili Media meli hii inafanana kama ilivyokuwa meli ya Titanic ya awali ambayo ilizama baharini mwaka 1902
Hii inaweza isizame kama ile ya mwanzo.Kisa cha ile Meli ya TITANIC kuzama ni kuwa wakati wa uzinduzi mwenye meli alisema meli yake imejengwa vizuri kiasi kuwa hata mungu akitaka kuizamisha hataweza.Watu wakashangilia kile kihotuba chake. Kilichotokea kwenye hiyo meli kuzama kwake kinakumbukwa na dunia hadi leo.Wenye hiyo meli mpya nadhani wakiepuka kufuru haitazama lakini wakirudia yale ya ile ya mwanzo hiyo nayo itazamaTahadhari kubwa! Hii nayo itazama
Tahadhari kubwa! Hii nayo itazama
ni mwaka upi unaojua wewe?Mkuu hebu angalia vizuri huo mwaka wa kuzama ni sahii kweli ???
Weka mbali Huyo mnyama ni shida humo ndani ni zaidi ya starehe za hapa dunianikwa sasa inaonekaana ya kawaida tu ndugu maana kuna vitu zaidi ya iyo.katafute kitu kinaitwa OASIS OF THE SEA.ni mara 2 na nusu ya iyo titanic
ha ha ha mkuu kumbe unaijua na wewe,ile kitu sio mchezo ndani ina hadi maduka,baa,club na mpaka swiming pool la kuogeleaWeka mbali Huyo mnyama ni shida humo ndani ni zaidi ya starehe za hapa duniani
1912 sio 1902Meli hii inafanana kama ilivyokuwa meli ya Titanic ya awali ambayo ilizama baharini mwaka 1902
kwa sasa inaonekaana ya kawaida tu ndugu maana kuna vitu zaidi ya iyo.katafute kitu kinaitwa OASIS OF THE SEA.ni mara 2 na nusu ya iyo titanic
duh kweli huo ni mtamboView attachment 487444
Huyo mnyama ndo kila kitu kwa sasa
MmmhView attachment 487444
Huyo mnyama ndo kila kitu kwa sasa
1912Meli hii inafanana kama ilivyokuwa meli ya Titanic ya awali ambayo ilizama baharini mwaka 1902