hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Kila siku watu wanahangaika usiku na mchana na kucheza na hatari ya kufukiwa na mahandaki yote hiyo ni katika harakati za kutafuta dhahabu.
Lakini saizi kuna wanasayansi wamegundua kwamba dhahabu inaweza ikatengenezwa kama maandazi na ukaenda kuiuza sokoni.
Na hili inabidi wale wote wanaotegemea wachimbe dhahabu ndio wale waanze kutafuta mbinu nyingine za kuishi kwasababu huko mbeleni dhahabu kitakuwa ni kitu ambacho kitakuwa kinapatika kiurahisi mno na kitakuwa ni kitu ambacho hakina thamani sana.
Japo kuwa watu wanasema madini yanapanda thamani kila siku.