IRAQ: 27 Wauawa kwa bomu wakila aiskrimu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Watu 27 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya mabomu lililotegwa kwenye gari kulipuka nje ya mgahawa wa kuuzia aiskrimu.

Shambulio hilo limetokea wakati wa jioni baada ya watu wakiwa wanaendelea kula futari, katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani.

Eneo hilo linakaliwa na watu wengi wa madhehebu ya Shia, huku habari zikisema kuwa ndio walikuwa walengwa.

Kufuatia shambulio hilo mjumbe wa Marekani katika kikosi cha Muungano wa majeshi yanayopambana na kundi la Islamic State Brett McGurk amelaani shambulio hilo lililotokea jana usiku.

Amesema shambulio hilo lililofanywa na IS ni baya kutokana na kulenga watoto na familia zao ambao walikuwa wakiburudika kwa kula aiskrimu wakati wa jioni baada ya mfungo wa Ramadhan.

======
At least 27 people have been killed and more than 100 wounded after two car bombs ripped through Baghdad, including one that targeted an ice cream parlour.

Sixteen people died in the first blast as ISIS militants detonated a car bomb outside an ice cream shop as it was packed with women and children breaking their Ramadan fast shortly after midnight on Tuesday.

A few hours later a second bomb the exploded by a government-run pension officer near the city's Al-Shuhada Bridge, killing a further 11 people.

More than 100 people are thought to have been wounded in the two attacks in total.

No group has claimed responsibility for the second attacks, but ISIS regularly bombs the city and had called for 'all-out war' during the holy month of Ramadan, which started on May 26.

40EE6C4500000578-4553620-image-a-43_1496134777030.jpg

Horrifying footage showed the first explosion tearing through the popular ice cream shop.

The bomb was placed inside a parked car and remotely detonated, according to Iraqi officials who spoke on condition of anonymity.

Footage posted on social media showed chaotic scenes on the streets surrounding the blast.

A number of bloodied wounded lay on the ground, others propped themselves up on the colorful park benches outside the ice cream shop.

40EE771800000578-4553620-image-a-59_1496137491959.jpg

One traumatised young girl, wearing a ribbon and bow in her hair, wandered the streets dazed.

Ramadan is often marked by an uptick in violence in Iraq.

Last year, Baghdad was rocked by a huge truck bomb that targeted a popular retail district in the city center.

Young people and families were shopping for new clothes ahead of the holiday marking the end of Ramadan when it went off.

The blast killed hundreds in the single deadliest event in Baghdad since Saddam Hussein was toppled in 2003.

ISIS also claimed responsibility for that bombing, which ultimately led to the resignation of Iraq's interior minister.

Tuesday's attack comes as Iraqi troops slowly push ISIS fighters out of their last strongholds in the northern city of Mosul.

Iraqi commanders say the offensive, which recently entered its eight month, will mark the end of the ISIS caliphate in Iraq, but concede the group will likely increase insurgent attacks in the wake of military defeats.

40EE835400000578-4553620-image-a-42_1496134772131.jpg

Iraqi forces pressed forward with the offensive against jihadist-held areas of Mosul as the United Nations warned of grave danger to civilians in the final stages of the battle.

Iraqi forces have retaken the city's east and large parts of its western side, but the jihadists are putting up tough resistance in areas they still hold.

ISIS overran large areas north and west of Baghdad in 2014, but Iraqi forces backed by US-led air strikes have since regained much of the territory they lost.

Source: Daily Mirror
 
Trump aliwaambia nchi za kiarabu na kiislamu tabia zao za kufadhili na kulinda magaidi na kuyapamba kwa vijisababu vya kijinga. Mwisho wa siku waathirika wakuu ni wao wenyewe. Tukio kama hili ni wenyewe kwa wenyewe wanauwana kwa visingizio visivyo na mbele wala nyuma. Nikaelewa mwezi mtukufu ni mwezi wa subira, kuvumiliana, kupendana, kusameheana, na toba kumbe ndio hasa kipindi cha kuzimwaga damu kadiri inavyowezekana! Duh.
 
Inakuwaje Waislamu waue wenzao tena mwezi wa mfungo ambapo ndio wangetakiwa wawe wanatenda mema?
 
acha wapumbavu wauawane wenyew dhambi yakuua wakristo wasio na hatia kamwe haitawaacha bure watachinjana mpka siku izo nchi zao zitakapogeuzwa heroshima
 
Trump aliwaambia nchi za kiarabu na kiislamu tabia zao za kufadhili na kulinda magaidi na kuyapamba kwa vijisababu vya kijinga. Mwisho wa siku waathirika wakuu ni wao wenyewe. Tukio kama hili ni wenyewe kwa wenyewe wanauwana kwa visingizio visivyo na mbele wala nyuma. Nikaelewa mwezi mtukufu ni mwezi wa subira, kuvumiliana, kupendana, kusameheana, na toba kumbe ndio hasa kipindi cha kuzimwaga damu kadiri inavyowezekana! Duh.
Kiongozi tafuta historia ya ugaidi.utajua vizuri.
 
acha wapumbavu wauawane wenyew dhambi yakuua wakristo wasio na hatia kamwe haitawaacha bure watachinjana mpka siku izo nchi zao zitakapogeuzwa heroshima
Acha maskhara wewe yaani watu wameuwawa wewe unawaita wapumbavu kweli hii dini yenu inafundisha chuki badala ya upendo
 
masihara?? uliona walichowafanyia wale wakristo Egypt majuzi

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
Kumbe mdini umejuaje walokufa wote ni waislamu?Iraq wakristo pia wapo na umejuaje walioua ni waislam wakristo pia wapo magaidi kwani isis sio waislam kwanza muislam haui watu bila ya kuwepo hukumu ya kisheria na kwa mujibu wa tamko la mashekhe wa kiislamu isis ni tawi la marekani
 
nini wewe?? jifanye mgeni tu ila ukweli unaujua

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom