RAMADHAN: Supermarket yaamuru Wateja kuchukua Vitu vyovyote watakavyo ndani ya Masaa 2. FUJO YATOKEA

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Jana nchini saudi arabia, suermarket moja imewapa OFA wateja wao kuchukua chochote watakacho ndani ya masaa mawili na kuzua mtafaruku mkubwa sana ndani ya supermarket hiyo<br />
 
MMHH..,, Hapo Saudi Arabia.,, Na ingekuwa bongo daresalama je..?? Ingekuwa vita kamili badala ya fujo.,, Muhimbili ingefurika majeruhi..!! Na uchumi huu wa Yohana unavyotuadabisha.,!!!
 
Wanavyogombania utafikili wale majamaa wa mchanga wa dhahabu pale TMAA
walivyokuwa wakigombea fungu lao walilopewa kuwafunga mdomo ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom