Trump aonekana kumsukuma Rais wa Montenegro

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
852
1,502
Katika mkutano uliofanyika hapo jana wa Nato, Trump alionekana kumsukuma Raisi wa Montenegro ili apate nafasi nzuri yeye ya kupiga picha. Na hakuomba msamaha wala kujutia kitendo hicho.

Nilichojifunza kutokana na tukio la jana ni kwamba, "Money can't buy class"

Video hii hapa



Link ya hiyo habari hii hapa. Naona vilaza wachache wanakimbilia kusema hii video imetengenezwa bila hata kufungua link.

https://www.nytimes.com/2017/05/25/...-aside-leader-montenegro-nato-summit.html&ved

http://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-40050926/trump-pushes-past-montenegro-s-pm&v
 
Back
Top Bottom