Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,534
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeruhusu chanjo ya majaribio ya ugonjwa wa Ebola kutumika nchini humo.
Nchi hiyo kwa sasa inapambana na mlipuko wa ugonjwa huo eneo la Kasakazini-Mashariki ambao umeshaua watu 4.
Chanjo hiyo iitwayo rVSV-ZEBOV bado haijasajiliwa lakini katika andiko lililochapishwa mwishoni mwa mwaka jana ilionekana kuwa na mafanikio makubwa.
Bado haijajulikana kwa uwazi jinsi chanjo hiyo itakavyotumika( lini itasambazwa na nani atapewa).
========
The Democratic Republic of Congo government has given the go-ahead for an experimental Ebola vaccine to be used in the country.
The country is currently battling an outbreak in the north-east which has killed four people so far.
The vaccine, called rVSV-ZEBOV, does not yet have a license but in a paper published at the end of last year it was shown to be highly effective, Reuters reports.
It is not yet clear how exactly the vaccine will be used in terms of when it will be distributed and who will get it.
Source: BBC