Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Kumetokea tatizo ghafla la kukatika katika kwa mtandao yaani data inazima na kuwaka kwa mtandao wa TTCL.Nini tatizo?!
Vifurushi vyetu vitafidiwa au ndo bye bye?!
Serikali tunaomba mboreshe huduma za huu mtandao jamani yaaani watanzania tunajitahid kuwaunga mkono lakin mnatuvunja moyo maana kila siku matatizo mara Leo menu haiji Leo data inajizima. Jirekebisheni kwa kweli.