Congo: Watu 20 wafariki kwenye ajali ya mtumbwi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,651
2,000

Watu zaidi ya 20 wafariki katika ajali ya mtumbwi ilitokea katika mtoto mkoani Mai-Ndombe DR Congo

Watu 20 wafariki katika ajali ya mashua ilitokea katika mto mkoani Mai-Ndombe Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Katika ajali hiyo watu wengine 80 hawajulikani walipo baada ya ajali hiyo.

Taarifa zinaarifu kuwa mashua mbili zilizokuwa zikiendesha uchukuzi katika mto mkoani Mai-Ndombe vilizama.

Ajali hiyo ilitokea Jumanne kutokana na hali mbaya ya hewa kama ilivyo fahamishwa na msimamizi wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali.

Mara kwa mara ajali mashua huzama katika mto Congo kutokana na ubovu na mashua na mitambo.

Chanzo: RT
 

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,371
1,250

Ajali hiyo ilitokea Jumanne kutokana na hali mbaya ya hewa kama ilivyo fahamishwa na msimamizi wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali.

Mara kwa mara ajali mashua huzama katika mto Congo kutokana na ubovu na mashua na mitambo.

Chanzo: RT
Haya zinakinzana Mara hali YA hewa Mara vyombo vibovu
 

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,007
2,000
Haya mambo yasikike tu kwa wengine! Siku moja kabla ujenzi wa daraja la Kigamboni haujakamilika, tulikuwa tunavuka pale kwa kutumia boti za mbao. Bwana tuko kati kati ya maji, ka injini ka boti kakanoki! Yani kifo nilikiona kilee! Mpaka jamaa wakaja na boti nyingine kutuvuta, sikuwahi tena kupanda ile mitumbwi! Its very risky!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom