Only Two Israel Defence Force Soldiers are highly Decorated

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
9,303
2,000
Highly decorated kutunukiwa inaweza kuwa moja au nyingi nishani ya juu / nishani ya heshima kubwa kutokea katika Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF)
 

kifuvu

Member
Sep 23, 2011
31
95
Just Gen Ehud Barak and Nehemia Cohen are the most decorated soldiers in IDF. Not even the late Yoni Netanyahu

Israeli military decorations - Wikipedia

Or even the most daring spy, Eli Cohen who was hanged in Syria
yoni netanyahu alikufa while on his prime if he had not died he could have been on that list st, na eli cohen ana special commemoration day in israel i think that's more than enoug and what he did in golan heights on the six day war can't be forgotten
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,167
2,000
Regardeless of his simplicity, Ehud Barak is the most respected in modern Israel unapozungumzia masuala ya kijeshi. Anazidiwa na watu na watatu watatu tu; yule jemadari aliyeuhusuru Yeriko hadi ukadondoka; Mfalme Daudi; na Suleiman wazee wa kupiganisha vita tangu wananyonya na hawajui kushindwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom