US navy: Sailors missing after USS Fitzgerald collision

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,600
2,000
85dd49ce8b8d4d3a83d243886365d450_18.jpg

The US navy says seven crew members are missing and at least three injured after a destroyer, the USS Fitzgerald, collided with ACX Crystal, a Philippine-flagged merchant vessel off the coast of Japan.

The Japanese coastguard said the Fitzgerald was experiencing some flooding but was not in danger of sinking, while the merchant vessel was able to sail under its own power.

The coastguard said none of the 20 crew members on board the merchant vessel were injured.

Three aboard the destroyer had been medically evacuated, including the ship's commanding officer, Cmdr Bryce Benson, who was reportedly in stable condition after being airlifted to the US Naval Hospital in Yokosuka.

The other two injured were transferred to the hospital for lacerations and bruises, while other injuries were being assessed, the US navy statement said.

The Fitzgerald was operating under its own power, "although her propulsion is limited".

It was unclear how the collision south of Tokyo Bay happened.

"Once an investigation is complete then any legal issues can be addressed," the US navy's Seventh Fleet spokesman said.

89faae029d844d12a5b1dac455024ed3_18.jpg

'Grounds for fear'
The Fitzgerald and the Japanese coastguard were searching for seven missing sailors.

Speaking to Al Jazeera from Tokyo, Michael Penn, a journalist with the Shingetsu news agency, said: "As hours and hours have gone by [and] it was in the middle of the night that they went overboard, there are strong grounds to fear for them."

The Fitzgerald suffered damage on its starboard side above and below the waterline, but the full extent of the damage was still being determined.

"The US navy ship is an Aegis destroyer, which has one of the most sophisticated radars in existence. So how such a ship was taken unaware and rammed by a merchant ship is very bizarre," Penn said.

The waterways approaching Tokyo Bay are busy with commercial vessels sailing to and from Japan’s two biggest container ports in Tokyo and Yokohama.

The USS Dewey and two navy tugboats had been dispatched to provide assistance, the US navy said.

Japan's public broadcaster NHK showed aerial footage of the destroyer, which had a large dent in its right, or starboard, side. Images broadcast by NHK showed it had been struck next to its Aegis radar arrays behind its vertical missile launch tubes.

In May, the US navy's USS Lake Champlain collided with a South Korean fishing vessel but both ships were able to operate under their own power.

Source: Al Jazeera and news agencies
 

kagulilo1

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
296
500
Basi sawa! Hivi alqaeda hawawezi kutest zali lao kweli kama mambo yenyewe ndio yako hivi
 

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,326
2,000
Wanajeshi saba wanamaji wa Marekani hawajulikani walipo baada ya meli yao iitwayo USS Fitzgerald kugongana na meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Ufilipino katika Pwani ya Mashariki mwa Japan leo.


Walinzi wa pwani ya Japan wametuma boti tano na ndege mbili katika eneo hilo kusaidia katika shughuli za uokozi.
Taarifa ya jeshi la maji la Marekani imesema huenda maofisa hao wako sehemu za ndani zilizofungwa ili kuzuia maji zaidi kuingia ndani ya manowari hiyo.
Hakuna taarifa zozote zilizotolewa juu ya meli ya pili iliyokuwa na bendera ya Ufilipino ACX Crystal.


Kati ya waliojeruhiwa ni kamanda wa meli ya Marekani ambaye alipelekwa hospitalini kwa njia ya helikopta. Hata hivyo bado haijulikani ni wapi meli hiyo yenye urefu wa mita 154 ilipokuwa ikielekea wakati huo. Kazi ya meli hiyo ni kuharibu makombora.


Meli ya mizingo ya ACX Crystal yenye urefu wa mita 222 iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Ufilipo ilikuwa ikisafiri kati ya miji ya Japan ya Nagoya na Tokyo.
MELI.jpg
 

Bullava

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
555
1,000
Inamaana radar zote za jeshi kwenye destroyer ya US walishindwa kuikwepa meli ya mizigo? Si bure huenda huu ni mchezo mchafu dhidi Duterte
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,995
2,000
Yan WANASHINDWA kuikwepa meli ya mizigo watayamudu kweli makombora ya MAPANKI.!!!!

Si ndiyo hapo mkuu, meli ya mizigo hipo poa i.e bila madhala - leo hii ndiyo wajidanganye eti Meli hiyo ya kivita inaweza kustahimili makombora ya kuzamisha meli yanayo weza kuvurumishwa na jeshi la majini la Korea Kasikazini? Uncle SAM bwana - si kila siku wanajidai wanazo Radar za kisasa zinazo tumia mfumo ya Aegis zina uwezo wa kuona hata sindano ya kushonea nguo gizani sasa imekuwaje ikashindwa kuona kitu kikubwa kama meli ya mizigo - je makombora ya Kim yanayo ruka kwa kasi kubwa yakiwa futi hamsini tu juu ya bahari/maji ndiyo watayaona?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom