Anguko la London: Ni nini maana yake?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,997
2,000
Kutokana na matukio yanayoendelea London kama janga la Moto , pamoja na terror atacks.
Nimekua nikisikia watu wakizungumzia juu ya hii kitu kinachoitwa "london has fallen" ila kwa juu juu sana bila kupata taswrira kamili.
Wapo wanaosema kuna movies pia zilitabiri mambo yatakayotokea London . Kuna series pia nimesikia ikihusishwa ile "homeland" japo sijapata picha how.

Wajuzi na wapekuzi wa mambo, mtusaidi kutufunua juu ya haya .
 

Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,524
2,000
Hata mimi nimeziona movie Kama mbili zinazotabili hayo matukio na hata lile la sept 11 niliwahi kuliona ktk cartoon ya boogieman km sikosei ni mwaka 1994-1996 hv..aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea ( Afande Sele )
 

mij

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
1,987
2,000
Ile movie ya London has fallen ni mwendelezo wa movie ya Olympus has fallen
 

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,210
2,000
Mkuu kuna miji inapitia hali ya hatari zaidi kuliko London.

Haya ni matukio tu yanakuja na kupita. London itabaki pale pale tu.

Mkuu ingawa nachelea kukubali lakini this has shaken the cradle of the empire! London is not your average city my friend. Haya tulizoea kuyasikia huko Aleppo, Damascus, Baghdad, Sanaa, Eden, Beirut nk. But London? Tafakari tena Mkuu!

Na sasa ushangae kwa nini haya mataifa ya magharibi yanaanza kufunga milango kwa wahamiaji. MAANA they see immigration as the source of all these problems. Naona tunakoelekea aisee as the world naona ni kugumu zaidi. Ingawa as a matter of fact Africa tuna Changamoto nyingi kiasi kwamba ugaidi haujawa kipaumbele kwetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom